Kwahiyo mkuu changamoto za mipaka na majirani ndio unataka JWTZ lifanye kazi? Uko serious? Yaani Jeshi liende kupambana na wafugani wa Kimasai kutoka Kenya? Huko Rwanda unakosema nako ni Ishu ya JWTZ au Idara ya uhamiaji? Unajua ni Watanzania wangapi wanaoishi mipakani na hizo nchi wameingia nchi jirani wanaishi huko?Kule mara maasai wa Kenya Wana ingiza mifugo yao Nchini Tena mbugani miaka nenda rudi. Rwanda the same.
Mtwara je , Magaidi wanaingia na kutoka
Majambazi ya Kenya yanakuja kuua wafanyabiashara matajiri na wenye kuleta ushindani wa viwanda vya Kenya na kurudi mchana siku hiyo hiyo .
Acheni siasa nchi Iko katika Hali mbaya
Nipe data current za Mtwara kuthibitisha unachoongea kuwa Magaidi wanaingia na kutoka. Leta facts ntakujibu.