Watu hatuogopi kuweka kwenye idadi ya waliokufa wakiwa wanaandamana wao waandae tu risasi za kutosha ila wakianzisha vurugu wakishaporwa silaha zao ndio wataelewa show ipoje maana si wanajivunia silaha zao sasa wataporwa hizo silaha halafu waone jinsi gani inakua unapopambana na upande wa pili uliobeba silahaWanajaribu kuuza hofu
Tangu lini ikawa hivyo?Nashangaa eti wanajeshi na polisi wamechanganyika wanakimbia pamoja
Tutafute mawe.Kutishia tu raia hamna lolote
Wameji choresha bora wangetulia wasubiri hio siku.Uki angalia walio pita mwanza wakitoka watu robot ya mwanza hawataweza wadhibiti kabisaWakuu habari.
Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kmakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndo mambo ya uchaguzi na maandamano?.
#kazi ipo
kipindi cha amani wanatafuta bifuHawana kazi haoo
ndio wavunjifu amani wenyewe hao na hao ndio wachochezi namba mojaWakuu habari.
Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kmakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndo mambo ya uchaguzi na maandamano?.
#kazi ipo
Ww Baki Tu nyumbani unafua visepe Sisi tutakuwakilisha mkuuKwa zile mbavu duh kazi ipo 29/10
Unazungumzia uchaguzi gani mkuu ?Wakifanya hivi siku ya uchaguzi wananchi hawatajitokeza kwenye vituo vya kupiga kura, labda wavae kiraia na wasibebe silaha. Hawa wanaweza kuharibu uchaguzi kwa akili hizi
Hao wanaandaliwa wapewe sare za POLICE ili wakasimamie usalama kwenye vituo vya kupigia kuraTutafute mawe.
Waacheni waendelee Wanatisha watu - wamama wote hawatatoka siku hiyo ni ya VIJANA.Wakuu habari.
Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?.
#kazi ipo
Hawana akili uzalendo ni kwa nchi sio kulinda mafisadiAbdul, Rostam na Kagame wanajipigia tu MALI ZA UMMA.
Yao yanafuga Mbavu kudili na JUMA KIDUKU wa Mbagala.
Kwamba kazi itakuwepo kwa zile mbavu za wajeda😅😅😅Kwa zile mbavu duh kazi ipo 29/10