Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo?
1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine wote kuwa waoga na wasijiunge na movement ya tarehe 29
2. Ingetakiwa isivuje wangeambiwa waweke cm wote nje
3. Tatu ni rahisi kujua nani kavujisha technolojia siku hizi ipo juu sana na mitambo hiyo ipo Tanzania marekani walitufungiaga kwa ajili ya kuzuia ugaidi kwa hiyo wangedelete haraka sana mitandaoni
NI WAZO LANGU NA NYIE MNASEMAJE ?