Neutral Man ZT
JF-Expert Member
- Sep 5, 2025
- 501
- 990
...
Vifaa vya ku record sio simu tu "usikariri"Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo?
1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine wote kuwa waoga na wasijiunge na movement ya tarehe 29
2. Ingetakiwa isivuje wangeambiwa waweke cm wote nje
3. Tatu ni rahisi kujua nani kavujisha technolojia siku hizi ipo juu sana na mitambo hiyo ipo Tanzania marekani walitufungiaga kwa ajili ya kuzuia ugaidi kwa hiyo wangedelete haraka sana mitandaoni
NI WAZO LANGU NA NYIE MNASEMAJE ?
Hii namba hata mimi nimekuta missed call tatuJana kuna dogo ni mtumish wa serikali kaandika kwenye whatsapp group kwamba tarehe 29 lazima tuandamane baadae kidogo akapigiwa simu na namba hii 0769 666 606 afu namba ina jina la Samia Hassan Suluhu,dogo aliogopa balaa
Kwani ulishaacha kusimama na wateka
mimi uzuri nilishasema toka mwanzo maandamano sishiriki na siyaungi mkono kwa sababu wahamasishaji wote wapo mbali wanatuchora tu huku wanatucheka , mimi kesho napiga kura mapemaaa narudi home kuchoma nyama na whisky na wadau mpaka jmosi ndo ntafungua geti kutoka njeKama unafikiri kavujisha ili waogope tengeneza group lako la Maandamano hapo kwenu Kazuramimba Kigoma uwe Admin uone kama hajakufikia kweli
mimi uzuri nilishasema toka mwanzo maandamano sishiriki na siyaungi mkono kwa sababu wahamasishaji wote wapo mbali wanatuchora tu huku wanatucheka , mimi kesho napiga kura mapemaaa narudi home kuchoma nyama na whisky na wadau mpaka jmosi ndo ntafungua geti kutoka nje
ndugu nakuelewa sana lakini kila nikitizama sioni mbadala, mimi mwisho wa kushabikia upinzani ilikuwa 2015, baada ya hapo sioni mwanga labda CCM polepole wangeibuka, vuta picha tulivyokuwa tunamwamini mbowe, dr slaaa alivyotugeuka , leo akina ester bulaya wamekengeuka, Nassari 2012 tulimzibia njia hadi mkapa alikuja kuchukuliwa na helicopter meru, tulikata miti zadi ya 6 kuziba barabara kumpigania leo yupo ccm , nikianza kutaja majina hapa list ni ndefu sana , lijua kali, matiro, dr mashinji, mayor wa arusha, maaavi matupu , yaani ujanja ni humu humu tupambane kubadilisha mambo lakini nje ya ccm kimeo kabisa , LISU ana msimamo lakini wasiwasi wangu wafadhili wake ndo hao waliofilisi Congo na wanaohakikisha congo haina amani , naomba fanya utafiti kidogo
Harajii kusitaafu atakuwa polisi miaka 100?Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo?
1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine wote kuwa waoga na wasijiunge na movement ya tarehe 29
2. Ingetakiwa isivuje wangeambiwa waweke cm wote nje
3. Tatu ni rahisi kujua nani kavujisha technolojia siku hizi ipo juu sana na mitambo hiyo ipo Tanzania marekani walitufungiaga kwa ajili ya kuzuia ugaidi kwa hiyo wangedelete haraka sana mitandaoni
NI WAZO LANGU NA NYIE MNASEMAJE ?
Wanao mfadhili Lissu ni nani na nani?ndugu nakuelewa sana lakini kila nikitizama sioni mbadala, mimi mwisho wa kushabikia upinzani ilikuwa 2015, baada ya hapo sioni mwanga labda CCM polepole wangeibuka, vuta picha tulivyokuwa tunamwamini mbowe, dr slaaa alivyotugeuka , leo akina ester bulaya wamekengeuka, Nassari 2012 tulimzibia njia hadi mkapa alikuja kuchukuliwa na helicopter meru, tulikata miti zadi ya 6 kuziba barabara kumpigania leo yupo ccm , nikianza kutaja majina hapa list ni ndefu sana , lijua kali, matiro, dr mashinji, mayor wa arusha, maaavi matupu , yaani ujanja ni humu humu tupambane kubadilisha mambo lakini nje ya ccm kimeo kabisa , LISU ana msimamo lakini wasiwasi wangu wafadhili wake ndo hao waliofilisi Congo na wanaohakikisha congo haina amani , naomba fanya utafiti kidogo
kama ni mfuatiliaji wa siasa za kimataifa utakuwa unamjua sana, na ndo walimpa confidence 2020 kuwa ukiguswa tu Tz tunaifanya TZ libya chap kumpindua rais wao , Jiwe na ubabe wake alishatonywa kuwa ole wako ujaribu wafadhili wa jamaa wana nguvu balaa ni group la war mongers wa duniaWanao mfadhili Lissu ni nani na nani?
ndugu nakuelewa sana lakini kila nikitizama sioni mbadala, mimi mwisho wa kushabikia upinzani ilikuwa 2015, baada ya hapo sioni mwanga labda CCM polepole wangeibuka, vuta picha tulivyokuwa tunamwamini mbowe, dr slaaa alivyotugeuka , leo akina ester bulaya wamekengeuka, Nassari 2012 tulimzibia njia hadi mkapa alikuja kuchukuliwa na helicopter meru, tulikata miti zadi ya 6 kuziba barabara kumpigania leo yupo ccm , nikianza kutaja majina hapa list ni ndefu sana , lijua kali, matiro, dr mashinji, mayor wa arusha, maaavi matupu , yaani ujanja ni humu humu tupambane kubadilisha mambo lakini nje ya ccm kimeo kabisa , LISU ana msimamo lakini wasiwasi wangu wafadhili wake ndo hao waliofilisi Congo na wanaohakikisha congo haina amani , naomba fanya utafiti kidogo
KumbeNi 0769666607
Sio yeye tu, watu wengi wamepigiwa wala sio kwa ubaya.
sawa kama niliowataja hawajatugeuka , karibu kilaji hiii wiki ya kupiga tungi tu nimeshaanza mapemaaaa 12.44
sawa kama ni askari mwingine nakuhakikishia kabla ya ijumaa ameshajulikana , ila audio au video zina ip addressAcha kujidanganya askari aliyetutumia Hiyo clip tunamjua wala si mafwele
Britanicca
umemsikia aliyekuwa mkurugenzi wa ulinzi na usalama chadema muda mchache uliopita kasema alikuwa mratibu wa kupokea fedha za kuhamasisha fujo na zinatoka nje ya Taznania , kasema yeye mwenyewe sio maneno yanguWanao mfadhili Lissu ni nani na nani?
Ukichimama nchale,ukikaa nchale!Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo?
1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine wote kuwa waoga na wasijiunge na movement ya tarehe 29
2. Ingetakiwa isivuje wangeambiwa waweke cm wote nje
3. Tatu ni rahisi kujua nani kavujisha technolojia siku hizi ipo juu sana na mitambo hiyo ipo Tanzania marekani walitufungiaga kwa ajili ya kuzuia ugaidi kwa hiyo wangedelete haraka sana mitandaoni
NI WAZO LANGU NA NYIE MNASEMAJE ?
Maandamano ya amani yanahitaji kibali na ulinzi wa polisi.mimi huwa sisapport maandamano ya fujo na kauli sizizo za staha
Ndio hivyo hakuna kuaminiana siku hizi hujui nani ni nyoka na nani sio tahadhari ni muhimuinawezekana lakini ni jamaaa tulisoma nao pcb ilboru miaka hiyo ndo maana tulikutana kama wana IL na wote 14 ni ilboru alumina , labda uniambie kuna tiss humo humo
wewe umeongea points unafaa kwa mijadala, 1. hiyo ya tatu alikosea sana na mimi nilishaandika humu mno kuwa aombe radhi watanzania japo hajafanya hivyo, hili la utekaji kifo ni kifo tu baada ya uchaguzi inatakiwa tupige kelele sana kwa njia zote , kifo sio kifo , maandamano yamepangwa siku mbaya ya uchaguzi nadhani siku zingine zote huwa yapo tu, Kuna kauli kama za mdude alikuwa anasema atamnyoa kama alivyomnyoa mtangulizi wake ili kauli ilinichefua sana mimi mfuasi wa damu wa JPM AU LISU aliwahi kusema huyu limama jizi kweli kweli nikatahadharisha kuwa sidhani kama ataendelea na kampeni mpaka mwisho watambana tu maana hakuna asiyependa kuheshimiwa JK tu ndo alikuwa anavumilia matusiMaandamano ya amani yanahitaji kibali na ulinzi wa polisi.
-Je, mazingira tuliyo nayo kwa sasa yanaruhusu maandamano ya amani?
Kama hayaruhusu, tukae kimya na kuacha mtesi wetu atufanyie atakavyo?
- Kauli zisizo na staha ni kama zipi?
Maana kuna kauli kama:
Kifo ni kifo tu.
Katiba ni kijitabu
Kuleni kwa urefu wa kamba zenu...ila epukeni kuvimbiwa.
N.k
Hebu funguka zaidi.