antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Pitia huu uzi..Ungeiweka hiyo Audio na sisi tupate kuitolea maoni
👇
Wakuu,
Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe.
Mbali na kuwakanya wamepewa na vitisho, kwamba wajue wanakufa mara moja tu, mtu hawezi kufa mara mbili, kama wanajiona wao ndio wao na kusema wasiwatishe, sasa wajaribu waone!
Ila askari wamenifurahisha sana, mbali na kutishiwa maisha jamaa wameonesha kwamba washawachoka, vitisho vyao sasa vinasikika dunia nzima! Yaani Dunia nzima...

- Cute Wife
- faustine mafwele jumanne muliro maandamano oktoba 2025 maandamano oktoba 29 muliro na mafwele uchaguzi 2025 uchaguzi mkuu 2025 utekaji na mauaji utekaji tanzania watu wasiojulikana
- Replies: 107
- Forum: Jukwaa la Siasa