Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,195
- 1,472
Hii comment imeonesha ulivyo na uwezo mdogo wa akilikama ni mfuatiliaji wa siasa za kimataifa utakuwa unamjua sana, na ndo walimpa confidence 2020 kuwa ukiguswa tu Tz tunaifanya TZ libya chap kumpindua rais wao , Jiwe na ubabe wake alishatonywa kuwa ole wako ujaribu wafadhili wa jamaa wana nguvu balaa ni group la war mongers wa dunia