Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Baada ya Magaidi wa Hezbollah kulemazwa na majeshi ya Israel sasa hivi IDF inajipigia tu popote inapotaka bila hata upinzani wowote!!
Magaidi wa Hezbollah kabla ya Oct 07,2023 walikuwa wakisifiwa na kurambwa miguu na wengi ambao kwa ujinga wao hawakujua nguvu ya Jeshi la Israel. Baada ya magaidi hao wa Hezbollah kukabiliana na IDF walipewa kilema cha maisha ambacho kilipelekea kuuwawa kwa viongozi wake wote akiwemo Gaidi aliyekuwa akitegemewa Hassan Nasrallah.