Magaidi wa Hezbollah wanachapwa kipigo cha Mbwa-koko na hawana uwezo tena wa kujibu Mapigo!!

We jamaa bana!!?? Hivi huu uongo unautunga ukiwa na akili zako timamu au unakuwa umelewa gongo? Ivi tokalini hawa magaidi wako walikuwa wanaitii serikali ya Lebanon? Ivi ujui hawa jamaa waliingilia huu ugomvi bila ruhusa ya serikali ya Lebanon? Ila baada ya kichapo cha mbwa koko ndio unawaona wapo hivyo na hawana budi kuwa watii sasaivi kwa sababu hawana tena ule ubabe wao na nguvu, ngoja wakae sawa uone vurugu zao hapo Lebanon.
Kwanza Hizbullah wanatakiwa kuishukuru serikali ya Lebanon maana baada ya kuona kichapo kimekuwa kikali wakaanza kuomba mazungumzo ndio serikali ikaamua kuingia makubaliano na Israel na hiyo ndio ikawa pona Yao la sivyo Hali ilikuwa unaenda kuwa mbaya sana kwao.
 
We jamaa bana!!?? Hivi huu uongo unautunga ukiwa na akili zako timamu au unakuwa umelewa gongo? Ivi tokalini hawa magaidi wako walikuwa wanaitii serikali ya Lebanon? Ivi ujui hawa jamaa waliingilia huu ugomvi bila ruhusa ya serikali ya Lebanon? Ila baada ya kichapo cha mbwa koko ndio unawaona wapo hivyo na hawana budi kuwa watii sasaivi kwa sababu hawana tena ule ubabe wao na nguvu, ngoja wakae sawa uone vurugu zao hapo Lebanon.
Tatizo mkiambiwa ukweli mnasema uwongo sa we jiulize kwanini serekali ya Lebanon isi washambulie Hezbullah kama anavyo taka Israel na USA wanajua wazi Hezbullah wako very strong kuliko wao.

Israel kushambulia kule South usidhani anapiga target za Hezbullah hahaha Hezbullah wamepull out wako baada ya Mto Liten hio kupiga piga viongozi flani anaweza sababu kuna maspy wengi kule Lebanon wanalipwa na Mossad.

Sehemu anazo piga ni kule karibu ya border sio walipo kwa sasa Hezbullah hio ni show off tu na pia Hezbullah walisha muachia huyo Puppet wa USA Rais wa Lebanon kule border wamemuambia afanye atakalo, kuwachia israel afanye mashambulizi au warudishe mashambulizi ipo kwa jeshi la Lebanon.

Hezbullah kutokana na ujinga wa huyo Puppet wamemuwachia wamuone je serekali yake inauwezo wa kulinda Lebanon bila Hezbullah dalili angalia vote za kuchagua viongozi kule South wote wame vote wabunge wa Hezbullah.

Kuonyesha wazi watu South wako na Hezbullah
 
Kama wapo upande wa pili wa mto basi wameshatekeleza amri ya Israel ya kuwataka wakae upande wa pili wa mto.
 
Baada ya Magaidi wa Hezbollah kulemazwa na majeshi ya Israel sasa hivi IDF inajipigia tu popote inapotaka bila hata upinzani wowote!!

Magaidi wa Hezbollah kabla ya Oct 07,2023 walikuwa wakisifiwa na kurambwa miguu na wengi ambao kwa ujinga wao hawakujua nguvu ya Jeshi la Israel. Baada ya magaidi hao wa Hezbollah kukabiliana na IDF walipewa kilema cha maisha ambacho kilipelekea kuuwawa kwa viongozi wake wote akiwemo Gaidi aliyekuwa akitegemewa Hassan Nasrallah.
Hivi we akili zako mbona za hovyo tuu, hezb mpaka masaa machache kabla ya ceasefire siku ya ceasefire alifanya oparation 38 ndani Israel, kwa makombora na drones, hizbollah kila siku alikua akifanya op wastan 38 mpaka 45, za angani na ardhini amechoma tenki nyingi na kuua idf wengi mno na kuwafanya north hapakaliki, hezbo anachofanya saivi ni political gain maneno yalikuwa mengi kwa huyo raisi papet kujifanya mjuaji sasa jeshi lake hata drone sijui kama wanazo

Hezbo amefanya oparation ya mtu bee kuangamiza kikosi kizima idf,nao na wanatoa ripoti muda huo huo na huku vita inaendelea na camera zinarekodi na kuna oparation zilikua zinarekodiwa live wanaume walishakata, shida na udhaifu ulikuja kwenye intelligence yao kulikua na likaage ndio inafanyiwa kazi sasa hivi, idf leo kesho anatamani wanyang'anywe silaha na unafiki wa watu Syria na Lebanon kuzuia ndege za muiran ila bado silaha za magendo zinazama kama Kawa
 
Mama yanguu weeeeee yupo wapi Ritz Webabu Adiosamigo na gTurn naona mnapigwa miti kila sehemu ya watu watu wanaweka mtalimbo.... Hii hatari jamani.
Tulia karibuni mtaipata dawa yenu huko Lebanon wacha leo tumsikie Naima Al Qassem ataongea nini kama ataendelea kuwachia jeshi la Lebanon wapigane na Israel hicho kitu hakiwezekani au wataingia wao kumtia adabu Israel.
 
Kwa sasa mnaingiziwa pipe kila sehemu yenye uwazi. Wewe unakuja unasema umeingiziwa nyuma tu mdomoni hakujaguswa.... 🤣🤣🤣🤣🤣 Unasema nyuma umeachia tu upigwe pipe sababu si issue ila mdomo ndo hutokubali utang'ata....
We shoga huo mchezo ni wakanisani mmeisha zowea kuchezea hizo pipes
 
Leo Lebanon wanasherekea miaka 25 ya hezbo kumfukuza Nduli zayuni wewe unatulentea ngojera hapa

🇱🇧❗: Today, 25 years ago, the Israeli army withdrew from southern Lebanon, ending over two decades of occupation crushed by the unwavering Lebanese resistance led by Hezbollah.

This victory dealt a heavy blow to Israeli colonial ambitions and stands as a powerful symbol of resistance and liberation for Lebanon and the wider region.
 
Tatizo mkiambiwa ukweli mnasema uwongo sa we jiulize kwanini serekali ya Lebanon isi washambulie Hezbullah kama anavyo taka Israel na USA wanajua wazi Hezbullah wako very strong kuliko wao.
Kuamini hivyo ni kujitoa ufahamu na kuonekana wewe ni Mjinga na Mpumbavu kupita wote!!
Hezbollah juzi wamepigwa na maghala yao ya kuhifadhia silaha na wala hawakuweza kujibu lolote kuonyesha kuwa hawana uwezo wowote wa kupambana na IDF kwa hali yoyote ile.
Israel kushambulia kule South usidhani anapiga target za Hezbullah hahaha Hezbullah wamepull out wako baada ya Mto Liten hio kupiga piga viongozi flani anaweza sababu kuna maspy wengi kule Lebanon wanalipwa na Mossad.
Akili za kijinga kabisa wewe unafikiri Israel ni wajinga na wapumbavu kama wewe??
Mmejaa visingizio visivyo na maana yoyote!!
Nimeamini mbaazi ikinyauka haikosi kusingizia jua na kama kawaida ya Wafuga Midevu na Majini hamkosi kufanya TAQIYYAH hata kwa vitu ambavyo viko wazi kabisa!!! Eti wengi huko Lebanon wanalipwa na Mossad!!!! Acheni Upumbavu!!
Sehemu anazo piga ni kule karibu ya border sio walipo kwa sasa Hezbullah hio ni show off tu na pia Hezbullah walisha muachia huyo Puppet wa USA Rais wa Lebanon kule border wamemuambia afanye atakalo, kuwachia israel afanye mashambulizi au warudishe mashambulizi ipo kwa jeshi la Lebanon.
Hapa ni Tripoli mji mkubwa wa pili kutoka Beirut ndiyo umeshambuliwa. Si kweli kabisa kuwa uko mpakani na Israel.

Majeshi ya Israel yana uwezo wa kushambulia popote Lebanon na hakuna wa kuwapinga.
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    1.1 MB
— 🇱🇧/🇱🇧/🇱🇧/🇮🇱 NEW: Today is Resistance and Liberation Day in Lebanon, marking the 25th anniversary of the liberation of southern Lebanon from Israeli occupation by Hezbollah and allied forces, including the Amal Movement.

@Middle_East_Spectator
 
On May 25, 2000, Israeli forces withdrew from South Lebanon after decades of occupation. Today, as surveillance and erasure persist, the South remains Lebanon’s frontline. Today, we commemorate not as a ritual, nor as a nostalgic trip, but as a duty - and with urgency.

🖋️ Read the full opinion article on #AlAkhbarEnglish

#SouthLebanon #May25 #LiberationDay
 
Hivi we akili zako mbona za hovyo tuu, hezb mpaka masaa machache kabla ya ceasefire siku ya ceasefire alifanya oparation 38 ndani Israel, kwa makombora na drones, hizbollah kila siku alikua akifanya op wastan 38 mpaka 45, za angani na ardhini amechoma tenki nyingi na kuua idf wengi mno na kuwafanya north hapakaliki, hezbo anachofanya saivi ni political gain maneno yalikuwa mengi kwa huyo raisi papet kujifanya mjuaji sasa jeshi lake hata drone sijui kama wanazo

Hezbo amefanya oparation ya mtu bee kuangamiza kikosi kizima idf,nao na wanatoa ripoti muda huo huo na huku vita inaendelea na camera zinarekodi na kuna oparation zilikua zinarekodiwa live wanaume walishakata, shida na udhaifu ulikuja kwenye intelligence yao kulikua na likaage ndio inafanyiwa kazi sasa hivi, idf leo kesho anatamani wanyang'anywe silaha na unafiki wa watu Syria na Lebanon kuzuia ndege za muiran ila bado silaha za magendo zinazama kama Kawa
Taqiyyah yenu haiwasaidii chochote Wajinga wasiojua wanaweza kusema Hezbollah ina nguvu wakati ilishalemazwa kabisa na sasa wanapumulia mashine!!
 
Hahahaha Hezbullah anacho taka kuidharaulisha o serekali ya Lebanon walio jidai kufanya deal na USA, France na Israel ni ujinga tu. We hujui sasa hivi kuna watu wananza kumkumbuka Nasurlah kuwa wakati wake Israel hakugusa Lebanon. Na kuna watu wanauliza liko wapi jeshi la Lebanon . We ulivyo mjinga unadhani Hezbullah kwisha wakati Iran wanakuambia Hezbullah wameijenga kuliko ilivyo kuwa kabla ya vita swali kwanini Hezbullah hajibu? Ni siasa sio udhaifu kama mnavyo fikiria Walebanon wengi walikuwa wakilaumu Hezbullah leo kuna wengi wanaona kumbe Hezbullah alikuwa anawaprotect.

Huyo Rais alipo chaguliwa karibu 80% walikuwa wanampa support kwa kujidai silaha lazima iwe kwenye mkono wa jeshi, leo wanamuliza jeshi liko wapi?

Kila time inavyo kwenda Israel alivyo mjinga atakuwa anapiga Lebanon kumbe Hezbullah ana target zake siku akisha ona wa Lebanon wengi wameisha anza kuwa against na huyo kibaraka wao ndio wataingia vitani.
Siyo mbaya kujifariji
 
Hii inaonyesha wazi Israel ilijiondoa huko baada ya mkataba wa Amani lakini magaidi wao wakasema eti wameshinda ushindi gani huo mnasherehekea? Acheni ujinga wa kuwasifia walioshindwa!!!!
 
Baada ya Magaidi wa Hezbollah kulemazwa na majeshi ya Israel sasa hivi IDF inajipigia tu popote inapotaka bila hata upinzani wowote!!

Magaidi wa Hezbollah kabla ya Oct 07,2023 walikuwa wakisifiwa na kurambwa miguu na wengi ambao kwa ujinga wao hawakujua nguvu ya Jeshi la Israel. Baada ya magaidi hao wa Hezbollah kukabiliana na IDF walipewa kilema cha maisha ambacho kilipelekea kuuwawa kwa viongozi wake wote akiwemo Gaidi aliyekuwa akitegemewa Hassan Nasrallah.
October 7 2023,itabaki kuwa siku mbaya Sana kwa, Iran na vikundi vyake anavyoviunga mkono, Hamas, Hezbollah, nk,
 
Kuamini hivyo ni kujitoa ufahamu na kuonekana wewe ni Mjinga na Mpumbavu kupita wote!!
Hezbollah juzi wamepigwa na maghala yao ya kuhifadhia silaha na wala hawakuweza kujibu lolote kuonyesha kuwa hawana uwezo wowote wa kupambana na IDF kwa hali yoyote ile.

Akili za kijinga kabisa wewe unafikiri Israel ni wajinga na wapumbavu kama wewe??
Mmejaa visingizio visivyo na maana yoyote!!
Nimeamini mbaazi ikinyauka haikosi kusingizia jua na kama kawaida ya Wafuga Midevu na Majini hamkosi kufanya TAQIYYAH hata kwa vitu ambavyo viko wazi kabisa!!! Eti wengi huko Lebanon wanalipwa na Mossad!!!! Acheni Upumbavu!!

Hapa ni Tripoli mji mkubwa wa pili kutoka Beirut ndiyo umeshambuliwa. Si kweli kabisa kuwa uko mpakani na Israel.

Majeshi ya Israel yana uwezo wa kushambulia popote Lebanon na hakuna wa kuwapinga.
Siku zidi wewe kwa upumbafu majina zaidi ya 30+ na haulipwi lolote zaidi ya kumiza macho yako na mgongo wako, lakini we shoga hata ukikaa hapa masaa 24 huna hasara. Tofauti na sisi wazee wa familia.

We jidanganye tu ka.a anawapiga Hezbullah we kumbe akili zako bado za kitoto sana. Hezbullah akianza kuwachapa hao mashoga zenu utasikia USA na Serekali ya Lebanon wanalalamika kuhusu mkataba kwa sasa wako kimya.

Serekali ya Lebanon inatoa kisingizio Hezbullah wasijibu ili wapate kujenga majumba yalio vunjwa of course aliye ahidi ni Saud Arabia na USA, akijibu Hezbullah watasema kaharibu deal lakini we kenge huwajui Hezbullah bado endelea kufikiria wamemalizwa.
 
Back
Top Bottom