Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 5,609
- 10,491
😆😆😆😆Hahahaha Hezbullah anacho taka kuidharaulisha o serekali ya Lebanon walio jidai kufanya deal na USA, France na Israel ni ujinga tu. We hujui sasa hivi kuna watu wananza kumkumbuka Nasurlah kuwa wakati wake Israel hakugusa Lebanon. Na kuna watu wanauliza liko wapi jeshi la Lebanon . We ulivyo mjinga unadhani Hezbullah kwisha wakati Iran wanakuambia Hezbullah wameijenga kuliko ilivyo kuwa kabla ya vita swali kwanini Hezbullah hajibu? Ni siasa sio udhaifu kama mnavyo fikiria Walebanon wengi walikuwa wakilaumu Hezbullah leo kuna wengi wanaona kumbe Hezbullah alikuwa anawaprotect.
Huyo Rais alipo chaguliwa karibu 80% walikuwa wanampa support kwa kujidai silaha lazima iwe kwenye mkono wa jeshi, leo wanamuliza jeshi liko wapi?
Kila time inavyo kwenda Israel alivyo mjinga atakuwa anapiga Lebanon kumbe Hezbullah ana target zake siku akisha ona wa Lebanon wengi wameisha anza kuwa against na huyo kibaraka wao ndio wataingia vitani.
Cheki Pumba hizi za mvaa kobazi apo uko na msuli Usha Shiba urojo una mwaga fakti semaji la mujahedeen