Safari hii mtateseka sana na Taifa teule la Mungu!!!Aisee Hill ndio Tarifa teule la Mungu? Labda Mungu wa mchongo
Wewe ndiyo utuambie Iran inafadhili Magaidi wa Hamas,Hezbollah,Houth na Islamic jihad kuua Wayahudi!!Kwanini Israel inafadhili magaidi kuchinja watu weusi?
Umechoka kutetea waarabu na sasa umewageukia Weusi wenzako?Kwanini Israel inafadhili magaidi kuchinja watu weusi?
Israel Hana tofauti na magaidiSafari hii mtateseka sana na Taifa teule la Mungu!!!
Kila ninapoiona ramani ya Iran na Israel nabaki kucheka tu na kufurahi kuona Wafuga Midevu na Majini kika kukicha wanajinyea na kuwa na visingizio vingi visivyo na maana yoyote!! Mara Taifa teule mara anasaidiwa na Marekani mara midevu na majini yamepanda!!
Mbona unewasahau UAE wanaowasupport waziwazi bila kificho chochoteJamaa wanafadhili magaidi kuua waafrika weusi alafu cha ajabu wanafiki wanakwambia eti Israel ndio wanapambana na ugaidi mashariki ya kati!!
Hiyo inafahamika, ila kuhusu Israel ilikua siri ya muda mrefu ila kwa sasa ipo wazi. Ikumbukwe pia silaha nyingi ambazo UAE wanawapatia RSF zimetokea IsraelMbona unewasahau UAE wanaowasupport waziwazi bila kificho chochote
Jibu swali, kwanini Israel inafadhili magaidi kufanya genocide ya waafrika?Umechoka kutetea waarabu na sasa umewageukia Weusi wenzako?
Yaani warabu wa middle east na north afrika matatizo yao yote lazima watafute namna wahakikishe lawama anapewa israel hata kama wao ndo chanzo cha matatizoHiyo inafahamika, ila kuhusu Israel ilikua siri ya muda mrefu ila kwa sasa ipo wazi. Ikumbukwe pia silaha nyingi ambazo UAE wanawapatia RSF zimetokea Israel
Warabu wa sudan wanawachinja waafrika wa darfur na sudan kusini tokea miaka ya 1980's ila somehow lawama anapewa israelJibu swali, kwanini Israel inafadhili magaidi kufanya genocide ya waafrika?
Wanasema wao ni warabu na sio waafrika hata omari al bashiri alikuwa anasema yeye ni mwarabuhawa jamaa wamekaa kama wasomali kila kukicha wanauwana wenyewe kwa wenyewe
Kama ni teule kwanini lisaidiwe na Marekani? Hivi Mungu huwa anasaidiwa? Kwenye Bible mbona walikuwa wanapigana wenyewe why sahivi wanasaidiwa?Safari hii mtateseka sana na Taifa teule la Mungu!!!
Kila ninapoiona ramani ya Iran na Israel nabaki kucheka tu na kufurahi kuona Wafuga Midevu na Majini kika kukicha wanajinyea na kuwa na visingizio vingi visivyo na maana yoyote!! Mara Taifa teule mara anasaidiwa na Marekani mara midevu na majini yamepanda!!
Nani kawalaumu? Hoja ni kwamba Iran imewekewa vikwazo na kushambuliwa kwa sababu ni "wafadhili wa ugaidi" kisa kuwasaidia Hamas, hezbollah n.kYaani warabu wa middle east na north afrika matatizo yao yote lazima watafute namna wahakikishe lawama anapewa israel hata kama wao ndo chanzo cha matatizo
Huyo kilaza unaemuita ambae hana hata formal education qualification, aje hapa kufanya nini zaidi ya kuleta uharo wake wa kilokole ?
Heee kichwa pumbu huwa huwatupi watu mkonoSafari hii mtateseka sana na Taifa teule la Mungu!!!
Kila ninapoiona ramani ya Iran na Israel nabaki kucheka tu na kufurahi kuona Wafuga Midevu na Majini kika kukicha wanajinyea na kuwa na visingizio vingi visivyo na maana yoyote!! Mara Taifa teule mara anasaidiwa na Marekani mara midevu na majini yamepanda!!
wewe mbulula huku hukuwezi, wewe ishi na upupu wako wa kutaka kusaidia nchi yako iwe tajri wakati wewe mwenyewe huna hata mia mbovuWarabu wa sudan wanawachinja waafrika wa darfur na sudan kusini tokea miaka ya 1980's ila somehow lawama anapewa israel
Kiini cha mgogoro wa sudan ni kutaka na kulazimisha nchi iongozwe na sheria za kiislamu na wahabism movement hiki ndo kiini cha tatizo hii mbona hata museven amekuwa akiiongelea sana
Huyu mpumbavu sio Israel, bali ana sapoti kamili ya USThe Jerusalem post Agosti 30, 2026.
Shirika la Africa Intelligence Report liliripoti kwamba wakati wa vita, viongozi waandamizi wa RSF walidumisha mawasiliano ya siri na Israeli huku wakikutana na maafisa kutoka Idara ya Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli na wafanyakazi wa ujasusi wa Israeli.
Kulingana na ripoti hiyo, wajumbe wawili wanaowakilisha RSF walisafiri kwa siri hadi Tel Aviv, wa kwanza mnamo Mei 2025 na wa pili mnamo Februari 2026.
View attachment 3662427
Hemedti, Kiongozi mkuu RSF
Chanzo hicho kilidai kwamba mawasiliano hayo yalikuwa sehemu ya uhusiano wa usalama na ujasusi ulioanza kabla ya kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Sudan mnamo Aprili 2023.
Kulingana na ripoti hiyo, ujumbe wa kwanza ulijumuisha Abdel Rahim Hamdan Dagalo, naibu wa kiongozi wa RSF Mohamed Hamdan Dagalo, anayejulikana kama Hemedti, pamoja na kaka yao, Algoney Hamdan Dagalo. Ripoti hiyo ilidai kwamba wawili hao walirudi Israeli mnamo Februari 2026, na kwamba mshauri wa kisheria wa shirika hilo alijiunga nao wakati wa ziara ya pili.
Shirika la Ujasusi la Afrika lilidai zaidi kwamba mawasiliano kati ya washirika wa Hemedti na maafisa wa Israeli hayakuwa mapya na yalijumuisha ushirikiano katika masuala ya usalama na ujasusi kwa miaka mingi. Baadhi ya madai katika ripoti hiyo pia yanahusu uhamisho wa teknolojia na vifaa vya ufuatiliaji kwa maafisa waliohusishwa na RSF.
Ripoti hiyo imevutia umakini maalum kutokana na shutuma nzito dhidi ya Vikosi vya Usaidizi wa Haraka. Tume ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa iliamua mnamo Julai kwamba wanachama wa RSF walikuwa wamefanya mauaji ya halaiki, ubakaji, utekaji nyara na njaa ya makusudi wakati wa kukamatwa kwa El Fasher huko Darfur, vitendo ambavyo wachunguzi walisema vinaweza kuwa sawa na mauaji ya kimbari.
View attachment 3662426
Wapiganaji wa RSF
Abdel Rahim Dagalo mwenyewe anakabiliwa na vikwazo vya kimataifa. Nyaraka za Ulaya zinamuelezea kama alichukua jukumu kuu katika shughuli za kijeshi za RSF na kama mwenye jukumu la vitendo vinavyotishia amani na utulivu huko Darfur, ikiwa ni pamoja na vurugu na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Source: Jerusalem post
Hakuna aliyesema hiyo ndio kiini cha vita bali hoja ni kuwa Israel imechukua upande wa magaidi wa RSF kuendelea kuchinja watu weusi embu imagine ingekua Iran kelele zingekuaje??Warabu wa sudan wanawachinja waafrika wa darfur na sudan kusini tokea miaka ya 1980's ila somehow lawama anapewa israel
Kiini cha mgogoro wa sudan ni kutaka na kulazimisha nchi iongozwe na sheria za kiislamu na wahabism movement hiki ndo kiini cha tatizo hii mbona hata museven amekuwa akiiongelea sana
Sudan warabu weusi wanachinja waafrika waislamu wa darfur tokea miaka ya 2000's mwanzoni huko na janjaweed ambao leo ni RSF leo unakuja kumtumpia lawama israel acha ujingawewe mbulula huku hukuwezi, wewe ishi na upupu wako wa kutaka kusaidia nchi yako iwe tajri wakati wewe mwenyewe huna hata mia mbovu
Lakini kama njaa imekuzidi, labda ulokole unaweza kuwa suluhisho uanze kuimbia watu kwenye mabasi upate chochote kitu
Za kimataifa kwa kweli hapana, hujui kitu