Magaidi wa RSF ya Sudan wapokea msaada wa intelijensia na vifaa kutoka Israel

Magaidi wa RSF ya Sudan wapokea msaada wa intelijensia na vifaa kutoka Israel

Huyu mpumbavu sio Israel, bali ana sapoti kamili ya US
Huyu mzayuni ndio kibushuti alietumwa na US kutengeneza mpaka upupu kuwa UAE anaisadia RSF ili wao kama washenga wa US wasijulikane
Wanatoa silaha huko ulaya mashariki na kuzipaki na assigment number zinazoonyesha ni mzigo ulionunuliwa na UAE halafu wanapeleka kule ili zikishikwa, soo liwaangukie waarabu wa UAE.

Unaona wazayuni walivyo viherehere walikuwa kwenye huu mgogoro tokea 2024 huku wakijifanya wapatanishi


View attachment 3663642
UAE anasupport RSF na aliwatumia kama mamluki kwenye vita yake yemen na alishindwa vibaya mno
Wewe ni mjinga sana waisalmu mchinjane wenyewe lawama apewe israel
 
Hakuna aliyesema hiyo ndio kiini cha vita bali hoja ni kuwa Israel imechukua upande wa magaidi wa RSF kuendelea kuchinja watu weusi embu imagine ingekua Iran kelele zingekuaje??

Kuhusu wahabism, miaka ya 1970s USA ilifadhili Saudi Arabia mabilioni ya dollar ili kusambaza wahabism na salafism kwenye nchi za kiislam ili kucounter nguvu ya communism. Not blaming US, ila hawa West huwa wanashiriki sana kufadhili ugaidi kama unawalindia maslahi yao. Rejea US na Israel kusaidia Al Qaeda kuchukua madaraka Syria
Unavyolaumu israel nchi za kislamu na kiarabu zimechukua hatua gani kuisaidia sudan mambo mengine tuache ushabiki
 
Hiyo inafahamika, ila kuhusu Israel ilikua siri ya muda mrefu ila kwa sasa ipo wazi. Ikumbukwe pia silaha nyingi ambazo UAE wanawapatia RSF zimetokea Israel
😀😀😀


Muislam unatumia taqqiya kutudanganya
 
Unavyolaumu israel nchi za kislamu na kiarabu zimechukua hatua gani kuisaidia sudan mambo mengine tuache ushabiki
Issue hapa ni kwamba Israel na USA zinadai kupambana na ugaidi middle east sasa swali linakuja kivipi "wakombozi" dhidi ya ugaidi nao wanafadhili magaidi? Tofauti yao na "magaidi" wa Iran inakua nini?

Napinga double standards
 
Wanahakikishaga matatizo yao yote lawama anatupiwa israel
Pia Acha misconception kuwa kila anayepinga Israel ni muislam, mimi hapa ni mkristo typical kabisa na hata JF intelligence mada zangu nyingi ni juu ya biblia but still sikubaliani na unafiki wa Israel na US. Na hata Mkapa, Nyerere ni wakristo ila walipinga Israel na kufukuza hadi balozi zao. Same to South Africa Mandela aliwapinga Israel na hata leo hii Afrika kusini inaipinga Israel wazi na iliwafungulia kesi ya genocide against palestines huko ICC.

Acheni kulazimisha dini kwenye vita za middle east. Mbona Russia na Ukraine kila mtu JF ana upande ila sisikii eti huyu ni muislam kisa kuitetea Russia au Ukraine?
 
😀😀😀


Muislam unatumia taqqiya kutudanganya
Dini inaingiaje hapa? Mbona huwa naipinga UAE na Saudi Arabia kwa unafiki wao kwenye vita ya Iran? Ajabu kupinga uhuni wa Israel basi nageuka muislamu!!

Ni vizuri kujibu hoja kama hauwezi nenda MMU kuliko kuleta udini kwenye geopolitics!! Nakuwekea media za Israel wenyewe

1. Mauziano ya silaha za Israel kwenda UAE

2. UAE imenunua air defence system kutoka Israel.

3. Hii hapa article kuhusu silaha za Israel kutumika kwenye massacre za sudan na sudan kusini.

Sasa tunachobishania hapa ni nini? Nikuamini wewe au media za Israel kwenyewe?
 
Aisee Hill ndio Tarifa teule la Mungu? Labda Mungu wa mchongo
😁😁 Sindio mungu alimwambia Ibrahim aka kae Israel ni Nchi yake amempa so unashangaa nini !??

Yaani atokee mtu huko Rwanda aje hapa Tanzania halafu akuambie uhame kwenye nyumba Yako unayoishi anadai kaambiwa na mungu hapo ni kwake 😂

Dini zaidi ya kichaa
 
The Jerusalem post Agosti 30, 2026.
Shirika la Africa Intelligence Report liliripoti kwamba wakati wa vita, viongozi waandamizi wa RSF walidumisha mawasiliano ya siri na Israeli huku wakikutana na maafisa kutoka Idara ya Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli na wafanyakazi wa ujasusi wa Israeli.

Kulingana na ripoti hiyo, wajumbe wawili wanaowakilisha RSF walisafiri kwa siri hadi Tel Aviv, wa kwanza mnamo Mei 2025 na wa pili mnamo Februari 2026.
View attachment 3662427
Hemedti, Kiongozi mkuu RSF
Chanzo hicho kilidai kwamba mawasiliano hayo yalikuwa sehemu ya uhusiano wa usalama na ujasusi ulioanza kabla ya kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Sudan mnamo Aprili 2023.

Kulingana na ripoti hiyo, ujumbe wa kwanza ulijumuisha Abdel Rahim Hamdan Dagalo, naibu wa kiongozi wa RSF Mohamed Hamdan Dagalo, anayejulikana kama Hemedti, pamoja na kaka yao, Algoney Hamdan Dagalo. Ripoti hiyo ilidai kwamba wawili hao walirudi Israeli mnamo Februari 2026, na kwamba mshauri wa kisheria wa shirika hilo alijiunga nao wakati wa ziara ya pili.

Shirika la Ujasusi la Afrika lilidai zaidi kwamba mawasiliano kati ya washirika wa Hemedti na maafisa wa Israeli hayakuwa mapya na yalijumuisha ushirikiano katika masuala ya usalama na ujasusi kwa miaka mingi. Baadhi ya madai katika ripoti hiyo pia yanahusu uhamisho wa teknolojia na vifaa vya ufuatiliaji kwa maafisa waliohusishwa na RSF.

Ripoti hiyo imevutia umakini maalum kutokana na shutuma nzito dhidi ya Vikosi vya Usaidizi wa Haraka. Tume ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa iliamua mnamo Julai kwamba wanachama wa RSF walikuwa wamefanya mauaji ya halaiki, ubakaji, utekaji nyara na njaa ya makusudi wakati wa kukamatwa kwa El Fasher huko Darfur, vitendo ambavyo wachunguzi walisema vinaweza kuwa sawa na mauaji ya kimbari.
View attachment 3662426
Wapiganaji wa RSF
Abdel Rahim Dagalo mwenyewe anakabiliwa na vikwazo vya kimataifa. Nyaraka za Ulaya zinamuelezea kama alichukua jukumu kuu katika shughuli za kijeshi za RSF na kama mwenye jukumu la vitendo vinavyotishia amani na utulivu huko Darfur, ikiwa ni pamoja na vurugu na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Source: Jerusalem post
Safi
 
Kama ni teule kwanini lisaidiwe na Marekani? Hivi Mungu huwa anasaidiwa? Kwenye Bible mbona walikuwa wanapigana wenyewe why sahivi wanasaidiwa?
Israel ni nchi ndogo sana lakini Iran na Turkey wote wamegwaya wamebaki kuilalamikia Marekani tu wakati wenyewe wanasaidiwa na mataifa makubwa kama China,Russia nk.

Anyway endeleeni kulalamika maana ni kawaida kwenu Wafuga Midevu na Majini!@
 
Jibu swali, kwanini Israel inafadhili magaidi kufanya genocide ya waafrika?
Vipi Genocide ya michongo ya Gaza iliishia wapi? Tuelezee hiyo kwanza tujue iliishia wapi ndipo uanzishe tena Genocide fake ya waafrika !@
 
Hawezi kuwataja maana ni Wafuga Midevu naMajini wenzake!!
Hao wote Saudi, UAE, Bahrain etc ni vibaraka wa Israel ndio maana iran inawashambulia kila kukicha. Ni lini sijawahi taja hao vibaraka kuhusika na kumsaidia mzayuni kuvuruga amani?

Ndio maana hata hao Israel au USA huwezi sikia wakisema Saudi Arabia au UAE zinafadhili ugaidi maana ni vibaraka wao
 
Vipi Genocide ya michongo ya Gaza iliishia wapi? Tuelezee hiyo kwanza tujue iliishia wapi ndipo uanzishe tena Genocide fake ya waafrika !@
Si kesi ipo ICC na ilitakiwa huyo muuaji Netanyahu awe kizimbani kujibu mashtaka. Kumbuka arrest warrant imeshatolewa ndio maana hawezi kanyaga nchi za ICC ikiwemo mshirika wake uingereza.

Africa hakuna Genocide feki, hao RSF wanaua waafrika wenzetu kwa silaha na intelijensia ya IDF!! Alafu mpo mnadai ni taifa teule? Kuna taifa teule kusupport ugaidi?
 
Israel ni nchi ndogo sana lakini Iran na Turkey wote wamegwaya wamebaki kuilalamikia Marekani tu wakati wenyewe wanasaidiwa na mataifa makubwa kama China,Russia nk.

Anyway endeleeni kulalamika maana ni kawaida kwenu Wafuga Midevu na Majini!@
Hakuna anayeigwaya Israel, tatizo ni kwamba ukitaka kupigana na Israel basi USA lazima imkingie kifua. Ona vita ya Israel na Iran imegeuka kuwa ya USA vs Iran?? Ila ingekua Israel anapigana mwenyewe miaka yote angeshafutwa duniani

Trump mwenyewe alishasema bila yeye Israel ingeshafutwa kwenye ramani na iran zamani sana!! Sasa tumuamini mme wa Israel au tukuamini wewe myahudi wa Kiluvya?
 
Back
Top Bottom