Magaidi wa RSF ya Sudan wapokea msaada wa intelijensia na vifaa kutoka Israel

Magaidi wa RSF ya Sudan wapokea msaada wa intelijensia na vifaa kutoka Israel

Unavyolaumu israel nchi za kislamu na kiarabu zimechukua hatua gani kuisaidia sudan mambo mengine tuache

Pia Acha misconception kuwa kila anayepinga Israel ni muislam, mimi hapa ni mkristo typical kabisa na hata JF intelligence mada zangu nyingi ni juu ya biblia but still sikubaliani na unafiki wa Israel na US. Na hata Mkapa, Nyerere ni wakristo ila walipinga Israel na kufukuza hadi balozi zao. Same to South Africa Mandela aliwapinga Israel na hata leo hii Afrika kusini inaipinga Israel wazi na iliwafungulia kesi ya genocide against palestines huko ICC.

Acheni kulazimisha dini kwenye vita za middle east. Mbona Russia na Ukraine kila mtu JF ana upande ila sisikii eti huyu ni muislam kisa kuitetea Russia au Ukraine?
Shida ya walokole wengi mawazo yao wa nafikiria kua Israel ni taifa teule tu wamekua manipulated na io dhana hawawazi nje ya box uchambuzi wa kisiasa unahitaji watu timamu wasiokua na upande
 
Shida ya walokole wengi mawazo yao wa nafikiria kua Israel ni taifa teule tu wamekua manipulated na io dhana hawawazi nje ya box uchambuzi wa kisiasa unahitaji watu timamu wasiokua na upande
Sudan ni waislamu warabu wanawaua waislamu weusi tokea miaka ya 1990's
Kwa ujinga wako unafikiri taifa teule basi ni kutokuwa na dhambi pole sana
 
Hao wote Saudi, UAE, Bahrain etc ni vibaraka wa Israel ndio maana iran inawashambulia kila kukicha. Ni lini sijawahi taja hao vibaraka kuhusika na kumsaidia mzayuni kuvuruga amani?

Ndio maana hata hao Israel au USA huwezi sikia wakisema Saudi Arabia au UAE zinafadhili ugaidi maana ni vibaraka wao
Endelea kuteseka na Taifa teule la Israel wakati huo Magaidi wa Hamas,Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran akipata kipondo cha kufa mtu!!
 
Si kesi ipo ICC na ilitakiwa huyo muuaji Netanyahu awe kizimbani kujibu mashtaka. Kumbuka arrest warrant imeshatolewa ndio maana hawezi kanyaga nchi za ICC ikiwemo mshirika wake uingereza.

Africa hakuna Genocide feki, hao RSF wanaua waafrika wenzetu kwa silaha na intelijensia ya IDF!! Alafu mpo mnadai ni taifa teule? Kuna taifa teule kusupport ugaidi?
Nilikusikia ukisema icc ni mahakama iliyoanzishwa na mabeberu imekuwaje leo mahakama hiyo unaiabudu wakati mahakama hiyo inaendeshwa na wabakaji?

Au kwa sababu wamemtaja Mwamba Netanyahu ?

Haya sasa tuambie hao vibaka watamkamata lini Mwamba? Au mnasubiri mpandishe majini yenu?
 
Hakuna anayeigwaya Israel, tatizo ni kwamba ukitaka kupigana na Israel basi USA lazima imkingie kifua. Ona vita ya Israel na Iran imegeuka kuwa ya USA vs Iran?? Ila ingekua Israel anapigana mwenyewe miaka yote angeshafutwa duniani

Trump mwenyewe alishasema bila yeye Israel ingeshafutwa kwenye ramani na iran zamani sana!! Sasa tumuamini mme wa Israel au tukuamini wewe myahudi wa Kiluvya?
Jiulize kwanza Iran anashambulia wanyonge wake Waarabu lakini hata hadhubuti kulishambulia Taifa teule kisha anaogopa kuangamizwa!!
 
Back
Top Bottom