Magaidi wa RSF ya Sudan wapokea msaada wa intelijensia na vifaa kutoka Israel

Aisee Hill ndio Tarifa teule la Mungu? Labda Mungu wa mchongo
Safari hii mtateseka sana na Taifa teule la Mungu!!!

Kila ninapoiona ramani ya Iran na Israel nabaki kucheka tu na kufurahi kuona Wafuga Midevu na Majini kika kukicha wanajinyea na kuwa na visingizio vingi visivyo na maana yoyote!! Mara Taifa teule mara anasaidiwa na Marekani mara midevu na majini yamepanda!!
 
Israel Hana tofauti na magaidi
 
Hiyo inafahamika, ila kuhusu Israel ilikua siri ya muda mrefu ila kwa sasa ipo wazi. Ikumbukwe pia silaha nyingi ambazo UAE wanawapatia RSF zimetokea Israel
Yaani warabu wa middle east na north afrika matatizo yao yote lazima watafute namna wahakikishe lawama anapewa israel hata kama wao ndo chanzo cha matatizo
 
Jibu swali, kwanini Israel inafadhili magaidi kufanya genocide ya waafrika?
Warabu wa sudan wanawachinja waafrika wa darfur na sudan kusini tokea miaka ya 1980's ila somehow lawama anapewa israel

Kiini cha mgogoro wa sudan ni kutaka na kulazimisha nchi iongozwe na sheria za kiislamu na wahabism movement hiki ndo kiini cha tatizo hii mbona hata museven amekuwa akiiongelea sana
 
hawa jamaa wamekaa kama wasomali kila kukicha wanauwana wenyewe kwa wenyewe
 
Kama ni teule kwanini lisaidiwe na Marekani? Hivi Mungu huwa anasaidiwa? Kwenye Bible mbona walikuwa wanapigana wenyewe why sahivi wanasaidiwa?
 
Yaani warabu wa middle east na north afrika matatizo yao yote lazima watafute namna wahakikishe lawama anapewa israel hata kama wao ndo chanzo cha matatizo
Nani kawalaumu? Hoja ni kwamba Iran imewekewa vikwazo na kushambuliwa kwa sababu ni "wafadhili wa ugaidi" kisa kuwasaidia Hamas, hezbollah n.k

Sasa swali linakuja, mbona Israel pia wanafadhili magaidi kama RSF (Sudan), PJAK (Iran), PKK (Turkey), Al Qaeda/HTS (Syria) ila hawaitwi wafadhili ugaidi wala kuwekewa vikwazo?

Huu unafiki ndio tunaopinga
 
Heee kichwa pumbu huwa huwatupi watu mkono
Lazima utokeee na kuharishaharisha mada nzima kama mgonjwa wa kipindupindu
 
wewe mbulula huku hukuwezi, wewe ishi na upupu wako wa kutaka kusaidia nchi yako iwe tajri wakati wewe mwenyewe huna hata mia mbovu
Lakini kama njaa imekuzidi, labda ulokole unaweza kuwa suluhisho uanze kuimbia watu kwenye mabasi upate chochote kitu
Za kimataifa kwa kweli hapana, hujui kitu
 
Huyu mpumbavu sio Israel, bali ana sapoti kamili ya US
Huyu mzayuni ndio kibushuti alietumwa na US kutengeneza mpaka upupu kuwa UAE anaisadia RSF ili wao kama washenga wa US wasijulikane
Wanatoa silaha huko ulaya mashariki na kuzipaki na assigment number zinazoonyesha ni mzigo ulionunuliwa na UAE halafu wanapeleka kule ili zikishikwa, soo liwaangukie waarabu wa UAE.

Unaona wazayuni walivyo viherehere walikuwa kwenye huu mgogoro tokea 2024 huku wakijifanya wapatanishi


 
Hakuna aliyesema hiyo ndio kiini cha vita bali hoja ni kuwa Israel imechukua upande wa magaidi wa RSF kuendelea kuchinja watu weusi embu imagine ingekua Iran kelele zingekuaje??

Kuhusu wahabism, miaka ya 1970s USA ilifadhili Saudi Arabia mabilioni ya dollar ili kusambaza wahabism na salafism kwenye nchi za kiislam ili kucounter nguvu ya communism. Not blaming US, ila hawa West huwa wanashiriki sana kufadhili ugaidi kama unawalindia maslahi yao. Rejea US na Israel kusaidia Al Qaeda kuchukua madaraka Syria
 
Sudan warabu weusi wanachinja waafrika waislamu wa darfur tokea miaka ya 2000's mwanzoni huko na janjaweed ambao leo ni RSF leo unakuja kumtumpia lawama israel acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…