Magaidi wa RSF ya Sudan wapokea msaada wa intelijensia na vifaa kutoka Israel

Unavyolaumu israel nchi za kislamu na kiarabu zimechukua hatua gani kuisaidia sudan mambo mengine tuache

Shida ya walokole wengi mawazo yao wa nafikiria kua Israel ni taifa teule tu wamekua manipulated na io dhana hawawazi nje ya box uchambuzi wa kisiasa unahitaji watu timamu wasiokua na upande
 
Shida ya walokole wengi mawazo yao wa nafikiria kua Israel ni taifa teule tu wamekua manipulated na io dhana hawawazi nje ya box uchambuzi wa kisiasa unahitaji watu timamu wasiokua na upande
Sudan ni waislamu warabu wanawaua waislamu weusi tokea miaka ya 1990's
Kwa ujinga wako unafikiri taifa teule basi ni kutokuwa na dhambi pole sana
 
Endelea kuteseka na Taifa teule la Israel wakati huo Magaidi wa Hamas,Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran akipata kipondo cha kufa mtu!!
 
Nilikusikia ukisema icc ni mahakama iliyoanzishwa na mabeberu imekuwaje leo mahakama hiyo unaiabudu wakati mahakama hiyo inaendeshwa na wabakaji?

Au kwa sababu wamemtaja Mwamba Netanyahu ?

Haya sasa tuambie hao vibaka watamkamata lini Mwamba? Au mnasubiri mpandishe majini yenu?
 
Jiulize kwanza Iran anashambulia wanyonge wake Waarabu lakini hata hadhubuti kulishambulia Taifa teule kisha anaogopa kuangamizwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…