KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Kundi la kiislamu la ndilo limetamka kuhusika na hilo shambolio hao wote walioshambulia ni waislamuSi tumeambiwa waislam hapa na wakatoliki wa bongo mbona tunaona wayahudi miungu wa waafrika wakristo kina Bwajima. Vipi ISS?? You can't fool people all the time...Bangusilo waislam.
Ha ha ha ha Wangekimbia wakiwa wafu au😃😃😃Hawa majamaa sijui kwa nini walitumia akili za kukimbia wakiwa hai!
View: https://twitter.com/MaimunkaNews/status/1772001781922283689?t=7RpqWPAZJiOkUmJ3ZHE7aQ&s=19
Hawa jamaa, najua Apo walipo wanatamani wafe TU ili mradi tu wapumzike😃nawaonea huruma,sijui miujiza gani itokee wafe lakini kifo kiwe bila mateso.
Huyo mwamba wa kushoto ukiangalia clip yake anatia huruma mpaka basi. Amevimba vibaya usoni halafu ana hema sana kama anashindwa kupumua. Muda mwengine anasimama kama anaugulia maumivu yaani anakosi pozi zuri la kusimama yaani kama hajui asimame au ainame.
Yule mwamba aliyekatwq sikio katulia kawa mpole vibaya naye kaumuka usoni
Labda alijifanya hasikii ikabidi daktari aingie mzigoni kuzibua sikioAisee warusi Watu wabaya Sana
wale jamaa wa sitaki-shari bila shaka walisomea uko maswala ya kufinya😃
Mwangalie uyu jamaa aliekatwa sikio, before na after mahojiano😂
Bado upo usingizini ??? Iss ni wayahudi wewe unasoma vyanzo vya Bwajima tu??Hao ni waislamu. Majina ya kiislam ya Eastern Europe huwa yanafanana na ya Kirusi. Hao jamaa ni kutoka nchi ya Tajikistan ambayo ina waislamu wengi tu.
Hili tukio ni collabo ya ISIS na Ukraine.
Kuna report ya mwaka 2022 kuwa kuna wapiganaji wengi sana wa ISIS wanapigana upande wa Ukraine
New batch of ex-ISIS members transferred from Syria to Ukraine: Report
Since the start of Russia's special military operation in Ukraine, hundreds of members of Al-Qaeda and ISIS have reportedly been transferred to fight in Ukrainethecradle.co
Kipigo Cha kukesha af huyo jamaa walimkata mashine..Kwaiyo jamaa Yuko mahakamani na usngz unakuja kabisa sio?😂
Atasema rakah zote,na Allah Akbar Kama Mia mbili hv,Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu ya kifo Nchinj Russia
..
⚡️Interrogation of the Moscow Crocus terrorists is being done with the help of electric shock to the balls therapy aka Russian "data recovery technology".
🚨This terrorist is about to tell the investigators things that even he didn't realise he knew.
Lakini Sweden huo uhuru wao wa kuchana vitabu vya dini mbalimbali ni vyema serikali yao kutunga sheria kali kudhibiti hilo maana mambo yanaweza yakaanza kwao pia.Ila tumuombe Mungu ulinzi tu. Hii style ya ugaidi Mumbai style, Westgate style na ya juzi Moscow isitokee nchini. Kwasababu ni magaidi kuwa na Ak 47 na risasi kadhaa na kuingia kwenye hadhara. Inatisha sana. Na huwezi kujua wapi na lini wamezipanga. Nilimsikia mnusurika mmoja akisema Hospitalini alidhani haya matukio ya kigaidi yanawapataga wengine tu.
Pia Sweden nao sasa hivi wako kwenye hali ya hatari.