Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

Hao magaidi Ni Bora TU wangekufa, Si kwa mahojiano haya aisee😂
 

Attachments

  • IMG_20240325_072047.jpg
    IMG_20240325_072047.jpg
    160.4 KB · Views: 7
Aisee warusi Watu wabaya Sana

wale jamaa wa sitaki-shari bila shaka walisomea uko maswala ya kufinya😃

Mwangalie uyu jamaa aliekatwa sikio, before na after mahojiano😂
 

Attachments

  • IMG_20240323_204249.jpg
    IMG_20240323_204249.jpg
    55.2 KB · Views: 4
  • IMG_20240325_013043.jpg
    IMG_20240325_013043.jpg
    52.7 KB · Views: 5
🤣🤣
Huyo mwamba wa kushoto ukiangalia clip yake anatia huruma mpaka basi. Amevimba vibaya usoni halafu ana hema sana kama anashindwa kupumua. Muda mwengine anasimama kama anaugulia maumivu yaani anakosi pozi zuri la kusimama yaani kama hajui asimame au ainame.

Yule mwamba aliyekatwq sikio katulia kawa mpole vibaya naye kaumuka usoni
 
Hao ni waislamu. Majina ya kiislam ya Eastern Europe huwa yanafanana na ya Kirusi. Hao jamaa ni kutoka nchi ya Tajikistan ambayo ina waislamu wengi tu.

Hili tukio ni collabo ya ISIS na Ukraine.

Kuna report ya mwaka 2022 kuwa kuna wapiganaji wengi sana wa ISIS wanapigana upande wa Ukraine
Bado upo usingizini ??? Iss ni wayahudi wewe unasoma vyanzo vya Bwajima tu??
 
Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu ya kifo Nchinj Russia
..
⚡️Interrogation of the Moscow Crocus terrorists is being done with the help of electric shock to the balls therapy aka Russian "data recovery technology".

🚨This terrorist is about to tell the investigators things that even he didn't realise he knew.
Atasema rakah zote,na Allah Akbar Kama Mia mbili hv,
Ila hili tukio ni la kuangslia kwa macho matatu, putin na majasusi wake watatengeneza ushahidi ionekane Hao "magaidi" Walipata msaada kutoka Ukraine, au wanakambi ukraine, Ili apate sababu ya kuitwanga zaidi ukraine,
Au tukio zima ni false flag, wale sio magaidi ni fsb operative, plan ilikuwa vsmia ukumbi, ua watu kadhaa, harafu weka ushahidi wa kuonyesha ukraine inahusika!
 
Ila tumuombe Mungu ulinzi tu. Hii style ya ugaidi Mumbai style, Westgate style na ya juzi Moscow isitokee nchini. Kwasababu ni magaidi kuwa na Ak 47 na risasi kadhaa na kuingia kwenye hadhara. Inatisha sana. Na huwezi kujua wapi na lini wamezipanga. Nilimsikia mnusurika mmoja akisema Hospitalini alidhani haya matukio ya kigaidi yanawapataga wengine tu.

Pia Sweden nao sasa hivi wako kwenye hali ya hatari.
Lakini Sweden huo uhuru wao wa kuchana vitabu vya dini mbalimbali ni vyema serikali yao kutunga sheria kali kudhibiti hilo maana mambo yanaweza yakaanza kwao pia.
 
Back
Top Bottom