Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

Lakini Sweden huo uhuru wao wa kuchana vitabu vya dini mbalimbali ni vyema serikali yao kutunga sheria kali kudhibiti hilo maana mambo yanaweza yakaanza kwao pia.
Sweden wana thamini uhuru wa watu kuliko jambo lingine lolote, watakuwa wa mwisho dunia hii kuminya uhuru wa raia wao kwa sababu ya wanazi wa dini au kundi lolote.
 
Sweden wana thamini uhuru wa watu kuliko jambo lingine lolote, watakuwa wa mwisho dunia hii kuminya uhuru wa raia wao kwa sababu ya wanazi wa dini au kundi lolote.
Uhuru usio heshimu imani za wengine ni hatari sana kama kwao uhuru ni muhimu kuliko matukio ya kigaidi yaliyo jaa mauaji basi sawa.

Haina tofauti na marekani uhuru wa kumiliki silaha ni muhimu kuliko matukio ya maelfu ya watu kuwawa kwa silaha kila mwaka serikali za namna hii zisizo jali kuhusu usalama wa watu wake kwa kigezo cha uhuru huwa za kipuuzi sana.

Ni aina ya serikali zinazo jali kuhusu usalama wa familia zao na watu walio wazunguka basi nyie tabaka tawaliwa mtajijua huko.
 
"""Nilimsikia mnusurika mmoja akisema Hospitalini alidhani haya matukio ya kigaidi yanawapataga wengine tu"""

Hili Ni SoMo kubwa Sana siku zote tujifunze kujihusisha na MATATIZO ya wengineo MAANA we never Know..
 
Walipokuwa wanawamiminia risasi warusi wasiokuwa na hatia walikuwa wanasema Allah akbar Allah akabar. Sijui Ukraine na CIA waliwafundisha kusema hivyo?
mkuu!kuna dini nyingine mpk natamani kumuuliza MUNGU kwa nn alizileta!!yaani ina watu makatili sana aisee!unauaje watu wasio na hatia na wasioweza kujitetea!!WHY?WHY?WHY?
 
Hata wewe ukiambiwa uchague kuishi kati ya Sweden, Marekani au China, Urusi, Uarabuni utakimbilia Sweden na Marekani.
 
Wee bwana unafikiri matamanio yako ni matamanio ya mtu yoyote yule inashangaza hii.

Kitu gani cha pekee kuhusu Sweden na U.S mpaka niende huko
Upekee wa huko ni pamoja na hiyo freedom of speech ambayo unawashauri Sweden waiminye au waiondoe kwa sababu ya hofu ya kushambuliwa.
 
Lakini Sweden huo uhuru wao wa kuchana vitabu vya dini mbalimbali ni vyema serikali yao kutunga sheria kali kudhibiti hilo maana mambo yanaweza yakaanza kwao pia.
Yani mtu amenunuwa kitabu Kwa pesa zake halafu umpangie cha kufanya?

Wale wenye kaswende za ubongo wanaochoma Moto bendera za Marekani na Israel ulishawahi kusikia wanalalamikiwa Kwa lolote?
 
Ukraine keshatwangwa sana na Urusi sidhani kama Kuna kitu anakihofia kwasasa maana hakuna silaha ambayo Putin hajaitumia Ukraine labda Nuclear tu na masaaa machache baada ya hilo shambulio la kigaidi Majeshi ya Ukraine yalitangaza kulipua meli 2 za kivita za Urusi.
 
Yani mtu amenunuwa kitabu Kwa pesa zake halafu umpangie cha kufanya?

Wale wenye kaswende za ubongo wanaochoma Moto bendera za Marekani na Israel ulishawahi kusikia wanalalamikiwa Kwa lolote?
Upo sahihi sana.

Una miaka mingapi ?
 
Upekee wa huko ni pamoja na hiyo freedom of speech ambayo unawashauri Sweden waiminye au waiondoe kwa sababu ya hofu ya kushambuliwa.
Hiyo sio freedom ni uwendawazimu mimi na maisha ya hivyo hatuendani.

Paka na panya.
 
Walipokuwa wanawamiminia risasi warusi wasiokuwa na hatia walikuwa wanasema Allah akbar Allah akabar. Sijui Ukraine na CIA waliwafundisha kusema hivyo?
Chuki ikizidi unakuwa kama chizi mimi nimeziona hzo video nyingi sn hakuna video nimesikia hayo maneno ndio maana pope kawaambia muolewe na wanaume wenzenu atawabaliki alishawaona akili hamna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…