Magaidi waendelea kuteka Msumbiji, hivi Watanzania "mlioikomboa" Afrika mbona mnashindwa kuwasaidia "ndugu" zenu hao?

Magaidi waendelea kuteka Msumbiji, hivi Watanzania "mlioikomboa" Afrika mbona mnashindwa kuwasaidia "ndugu" zenu hao?

Huwa nakushangaa unapataga wapi ujasiri wa kuongea.

Hapo nnchi jirani yenu imewashinda afu sisi hatufanyi mambo kwa mihemko si walitoka kwenu wakaja huku kilicho wakuta waulize ndugu zako wa Mombasa.

Hao wakiitaji msaada wataomba ila sio kwa nyie nyang'au kuongea
 
Hadithi za Tanzania kuyakomboa mataifa ya kusini zimetiwa chumvi sana ili mradi tu watu wapewe sifa.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni Tanzania ndiyo tumekomboa nchi za Afrika, ukombozi wa Afrika bila Tanzania utakuwa haujatenda haki.

Hii imetufanya masikini kwasababu tulitumia rasilimali zetu nyingi kuwakomboa wa Afrika na kufanya Afrika kuwa sehemu rafiki kuishi, tatizo tumekomboa watu wasio weza kujitambua hii ni hasara kubwa kama taifa tumepata.

Kama siyo biashara ya ukombozi wa nchi za Afrika tuliyofanya leo hii tungekuwa taifa tajiri kuliko taifa lolote barani Afrika tungekuwa dunia ya kwanza.
 
kwan na nyie hapo mnavyo chapwa na msomali. Je, umeona tumekohoa ata kwa bahat mbaya?

Acha uzembe , sisi tupo hapa mpakan akisogea kiumbe anakula. Bullet za kutosha havuki mjusi hapa.
 
mk254 ushahama kwenye corona?

Hamna namna ya kuihama corona, hukuona Museveni na walinzi wake walivyokua wamejilinda kwa barakoa limefunika uso wote, na akirudi kwao huko lazima apime, pia ajiweke karantini hadi wiki ziishe mbili.

Jamaa kaamua kujiponza kisa aje amuombee kura kiongozi wenu.
 
Ivi unajua kutofautisha kati ya kaskazini na kusini wewe?
 
Nadhani Kenya ndio mzoefu wa masuala ya magaidi wa kijihad kama alshabab.

Tunaomba mtumie uzoefu wenu mkaisaikomboe Msumbiji.
 
Uoga ni dhambi kubwa sana..wengi wetu wanakufa kwa fear wala tusiisingizie korona. Akiogopacho mtu ndicho kinachomjia...hio ndio sayansi

Tahadhari ni muhimu, ndio maana ukienda kuwashikisha ukuta wadangaji hapo Buza huwa inakubidi utumie mpira wa kondomu.
 
Nadhani Kenya ndio mzoefu wa masuala ya magaidi wa kijihad kama alshabab.

Tunaomba mtumie uzoefu wenu mkaisaikomboe Msumbiji.

Vita dhidi ya majihad haina cha uzoefu wala nini, unapigana na majitu yaliaminishwa pumba kwamba akifa anakwenda kupewa mabikira, hivyo kifo kwake ndio raha.
 
Vita dhidi ya majihad haina cha uzoefu wala nini, unapigana na majitu yaliaminishwa pumba kwamba akifa anakwenda kupewa mabikira, hivyo kifo kwake ndio raha.

[emoji3]
 
Back
Top Bottom