Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,762
- 3,362
[emoji23][emoji23][emoji23]Vita dhidi ya majihad haina cha uzoefu wala nini, unapigana na majitu yaliaminishwa pumba kwamba akifa anakwenda kupewa mabikira, hivyo kifo kwake ndio raha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Vita dhidi ya majihad haina cha uzoefu wala nini, unapigana na majitu yaliaminishwa pumba kwamba akifa anakwenda kupewa mabikira, hivyo kifo kwake ndio raha.
Naskia KDF wakishikwaga mateka wanageuzwa kuwa wake. Msomali sio mtu[emoji23][emoji23][emoji23]Vita dhidi ya majihad haina cha uzoefu wala nini, unapigana na majitu yaliaminishwa pumba kwamba akifa anakwenda kupewa mabikira, hivyo kifo kwake ndio raha.
"Did you see the body? Assumption is the mother of all fVck ups" - Under Siege 2kuna askari wa Tanzania ambao walidaiwa kuuawa na hawa magaidi, lakini serikali ikaficha mambo hayo.
ukweli tutapa tu very soon
if they hid the numbers definitely they would hide the bodies too.."Did you see the body? Assumption is the mother of all fVck ups" - Under Siege 2
We have seen, more than once bodies of KDF solders killed in Somalia. Those assholes always want to take credit for their killings. If that was true with us, you would have seen photos and videos all over the net. No bodies, no deaths.if they hid the numbers definitely they would hide the bodies too..
Kwa iyo mmarekani ndio mmeo,we have our own plans,we are not U.S.A ndio shida ya kuabudu mabeberu.Sasa hiyo ni akili? Wewe uliona lini Marekani akisubiri adui atue kwenye ardhi yake?
Weka isiyo na chumvi.Hadithi za Tanzania kuyakomboa mataifa ya kusini zimetiwa chumvi sana ili mradi tu watu wapewe sifa.
Hizi akili hizi!Unawategemea kwa kila kitu halafu ukiwa nyuma ya keyboard unatamba kuwa mmarekani siyo mumeo!Unaelewa kuwa bila marekani huna budget?Unaelewa kuwa bila marekani Afya ni hakuna?Unaelewa kuwa bila mmarekani elimu ni hakuna?e.t.c.Kwa taarifa yako ukweli mchungu ni kwamba mmarekani ni mume wako halali wa ndoa,bila ya yeye hulali wala huamki!M
Kwa iyo mmarekani ndio mmeo,we have our own plans,we are not U.S.A ndio shida ya kuabudu mabeberu.
Waliamua kuleta friendly match across the border🤣Duh naona jamaa wamevuka boda
Usichokijua usiseme, neno piga kimya limekaa kisiasa au kishabiki....... tenganisha action/ Intelligence ya security na meneno ya media, ya watu au siasa, hutakaa usikie maneno maneno ya military in Tz. best way to solve things is to stay calm and take action.Nashangaa SADC imelala chali kwa hili, hawasemi kitu, huku Watanzania ambao hujinadi kuwa "ndugu" wao wa damu wamepiga kimya, sielewi kwanini hawaendi kuwakomboa kama namna huwa wanatambia kwamba "waliikomboa" Afrika na kufukuza mkoloni.
What I can agree with you SADC au AU huwa ipo ipo tu but sio kesi kila taifa lina ulinzi wake, I advice hata kama Kenya watasaidia Mozambique waachane na maneno ya siasa kuongea ongea, just take action where others will not know.Visiwa kadhaa vya Msumbiji vimetekwa na kundi la magaidi wa kiislamu, wanaua bila kujali nini wala nini, pia mkoa wa Kaskazini uliopakana na Tanzania hakukaliki, hali imekua tete, watu wanatoroka vijiji vyao, serikali ya Msumbiji ni kama imeanza kukata tamaa.
Nashangaa SADC imelala chali kwa hili, hawasemi kitu, huku Watanzania ambao hujinadi kuwa "ndugu" wao wa damu wamepiga kimya, sielewi kwanini hawaendi kuwakomboa kama namna huwa wanatambia kwamba "waliikomboa" Afrika na kufukuza mkoloni.
Fanyeni hima mhusike huko mapema ikiwa bado ufa ukutani kabla hamjalazimika kutengeneza ukuta wote. Sisi huku tulifumbia macho ugomvi wa Wasomali hatimaye ikaja kuwa zimwi la Mashababi bin shetwan, japo tumewachakaza lakini masalia yao huwa hatari kuyasaka.
=========
Jihadists in northern Mozambique occupied two small islands in the Indian Ocean threatening maritime traffic in the region where a multi-billion-dollar offshore gas exploration project is being developed, locals said Friday.
The move is the latest in the Cabo Delgado province in the past three years.
It came a month after the Islamic State-linked insurgents occupied a strategic port town of Mocimboa da Praia, which was used for cargo deliveries for the development of the gas project.
Witnesses told AFP that the militants seized control of the islands of Mecungo and Vamisse on Wednesday night.
"They arrived at night in small fishing boats. They removed people from the houses and then torched them," said one man who had fled to Mecungo island from Mocimboa da Praia.
"They didn't hurt anyone, they just gave orders to leave the islands," he said by phone, adding that he had moved further inland to the ruby mining town of Montepuez after sailing to the mainland and then taking a bus ride to Montepuez.
The islands were mostly inhabited by internally displaced people who fled their villages on the mainland where attacks have escalated.
Another witness said that before the houses were burned down, the insurgents held meetings with people and instructed everyone to leave the island.
"They got us together and told us to run away if we want to live. I think everyone left the island," one said asking to not be identified.
The jihadists have staged attacks since 2017, displacing more than 250,000 people and killing at least 1,500.
Government forces are still battling to retake the Mocimboa da Praia port since it was occupied on August 12.
The militants' attacks in the Cabo Delgado have rendered the road network between the provincial capital Pemba and the gas region in Palma, impassable.
Maritime transport had been the alternative for goods and people.
But French oil giant Total, which is investing $23 billion in the gas exploration project, said it no longer relies on the occupied Mocimboa da Praia port.
"Mozambique LNG is not using Mocimboa da Praia as a logistical hub and has indeed built its own marine facilities," Total said in an emailed response to questions.
Provincial police declined to comment on the islands' occupation.
Source: The Citizen
Usichokijua usiseme, neno piga kimya limekaa kisiasa au kishabiki....... tenganisha action/ Intelligence ya security na meneno ya media, ya watu au siasa, hutakaa usikie maneno maneno ya military in Tz. best way to solve things is to stay calm and take action.
Action huzaa matunda, sio watu wanaendelea kuchinjwa huku umepiga kimya ukijinadi kuchukua "action", hata mataifa yenye uwezo mara 1,000 zaidi ya Tanzania hutolea tamko pale watu wake wanapochinjwa na magaidi.