Magaidi waendelea kuteka Msumbiji, hivi Watanzania "mlioikomboa" Afrika mbona mnashindwa kuwasaidia "ndugu" zenu hao?

Magaidi waendelea kuteka Msumbiji, hivi Watanzania "mlioikomboa" Afrika mbona mnashindwa kuwasaidia "ndugu" zenu hao?

Action huzaa matunda, sio watu wanaendelea kuchinjwa huku umepiga kimya ukijinadi kuchukua "action", hata mataifa yenye uwezo mara 1,000 zaidi ya Tanzania hutolea tamko pale watu wake wanapochinjwa na magaidi.
I understand your point of view.
 
jeshi la wazeee tz vp jamani dahhh! nmeona video walinyanganywa kifaru mazeeee dah...magaidi sio poaaa!!!😂
 
Back
Top Bottom