Hawathubutu kuvuka Tanzania watavunjwavunjwa.
This is nonsense kwa sababu majeshi yetu hayapo huko. Sasa wameuawa wapi. Lete ushahidi wa maana.Nimekutana na hizi habari hapa ila sijui kama ni za kusadikika, kama ni za kweli poleni sana bandugu, kumbe mlishajaribu kuwabip hao magaidi ila ikashindikana Wanajeshi 20 wa Tanzania Wauawa na Magaidi Msumbiji.
This is nonsense kwa sababu majeshi yetu hayapo huko.sasa wameuawa wapi.lete ushahidi wa maana
Ndio Akili na Ubongo wako Vimeishia hapoTuna mambo yetu wakati magaidi wanapanda kuja Tanzania?!Kwa nini mtu akivaa hilo shati la kijani akili huwa zinahama?
We unafikiri wanajeshi wa Tanzania wanaweza kuuawa kama wanajeshi wakenya wanavyouawa na al shabab.Nimekutana na hizi habari hapa ila sijui kama ni za kusadikika, kama ni za kweli poleni sana bandugu, kumbe mlishajaribu kuwabip hao magaidi ila ikashindikana Wanajeshi 20 wa Tanzania Wauawa na Magaidi Msumbiji.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni Tanzania ndiyo tumekomboa nchi za Afrika, ukombozi wa Afrika bila Tanzania utakuwa haujatenda haki.Hadithi za Tanzania kuyakomboa mataifa ya kusini zimetiwa chumvi sana ili mradi tu watu wapewe sifa.
mk254 ushahama kwenye corona?
Wee jamaa unajua kupanga maneno vizuri.hakuna jinsi refa kampa Magufuli penalty katika dakika ya 90 ya mchezo, uamuzi upo kwa Magufuli, Uhuru Kenyatta hana la kufanya.
Wakoloni ni Magaidi.Kwani magaidi ni wakoloni?
Hawathubutu kuvuka Tanzania watavunjwavunjwa.
Uoga ni dhambi kubwa sana..wengi wetu wanakufa kwa fear wala tusiisingizie korona. Akiogopacho mtu ndicho kinachomjia...hio ndio sayansi
Nadhani Kenya ndio mzoefu wa masuala ya magaidi wa kijihad kama alshabab.
Tunaomba mtumie uzoefu wenu mkaisaikomboe Msumbiji.
Vita dhidi ya majihad haina cha uzoefu wala nini, unapigana na majitu yaliaminishwa pumba kwamba akifa anakwenda kupewa mabikira, hivyo kifo kwake ndio raha.