Magaidi waendelea kuteka Msumbiji, hivi Watanzania "mlioikomboa" Afrika mbona mnashindwa kuwasaidia "ndugu" zenu hao?

Vita dhidi ya majihad haina cha uzoefu wala nini, unapigana na majitu yaliaminishwa pumba kwamba akifa anakwenda kupewa mabikira, hivyo kifo kwake ndio raha.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vita dhidi ya majihad haina cha uzoefu wala nini, unapigana na majitu yaliaminishwa pumba kwamba akifa anakwenda kupewa mabikira, hivyo kifo kwake ndio raha.
Naskia KDF wakishikwaga mateka wanageuzwa kuwa wake. Msomali sio mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sina hakika nchi za SADC kama zina mkataba wa kulindana.

Hata hivyo nchi yetu ichukue tahadhari ya kutosha,Msumbiji siyo mbali na sisi.
 
Kuna askari wa Tanzania ambao walidaiwa kuuawa na hawa magaidi, lakini serikali ikaficha mambo hayo. Ukweli tutapa tu very soon
 
Hivi hilo jeshi la msumbiji kweli lina wanaume au ni matiti tupu inawezekanaje wanyanganywe bandari muhimu kama hiyo kirahisi rahisi kihasi icho.
 
M
Kwa iyo mmarekani ndio mmeo,we have our own plans,we are not U.S.A ndio shida ya kuabudu mabeberu.
Hizi akili hizi!Unawategemea kwa kila kitu halafu ukiwa nyuma ya keyboard unatamba kuwa mmarekani siyo mumeo!Unaelewa kuwa bila marekani huna budget?Unaelewa kuwa bila marekani Afya ni hakuna?Unaelewa kuwa bila mmarekani elimu ni hakuna?e.t.c.Kwa taarifa yako ukweli mchungu ni kwamba mmarekani ni mume wako halali wa ndoa,bila ya yeye hulali wala huamki!
 
Meanwhile KDF are having massive bread fights...
 

Attachments

  • null_20200914_205333_86872009013073104130.mp4
    7.7 MB
Watoto wanaosumbua huko...
 

Attachments

  • Screenshot_2020-10-18-19-41-12-714_com.twitter.android.jpg
    99.8 KB · Views: 1
Nashangaa SADC imelala chali kwa hili, hawasemi kitu, huku Watanzania ambao hujinadi kuwa "ndugu" wao wa damu wamepiga kimya, sielewi kwanini hawaendi kuwakomboa kama namna huwa wanatambia kwamba "waliikomboa" Afrika na kufukuza mkoloni.
Usichokijua usiseme, neno piga kimya limekaa kisiasa au kishabiki....... tenganisha action/ Intelligence ya security na meneno ya media, ya watu au siasa, hutakaa usikie maneno maneno ya military in Tz. best way to solve things is to stay calm and take action.
 
What I can agree with you SADC au AU huwa ipo ipo tu but sio kesi kila taifa lina ulinzi wake, I advice hata kama Kenya watasaidia Mozambique waachane na maneno ya siasa kuongea ongea, just take action where others will not know.
 

Action huzaa matunda, sio watu wanaendelea kuchinjwa huku umepiga kimya ukijinadi kuchukua "action", hata mataifa yenye uwezo mara 1,000 zaidi ya Tanzania hutolea tamko pale watu wake wanapochinjwa na magaidi.
 
Action huzaa matunda, sio watu wanaendelea kuchinjwa huku umepiga kimya ukijinadi kuchukua "action", hata mataifa yenye uwezo mara 1,000 zaidi ya Tanzania hutolea tamko pale watu wake wanapochinjwa na magaidi.

Hatuko hivyo mzee,sisi tunafanya vile inatufaa sisi. Na impact yake utaiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…