pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,350 Oct 22, 2020 #81 Ney Aziz said: Acheni uongo na fiction zenu!Tanzania iko salama Click to expand... IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara
Ney Aziz said: Acheni uongo na fiction zenu!Tanzania iko salama Click to expand... IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara
passioner255 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 6,192 Reaction score 11,897 Oct 22, 2020 #82 pingli-nywee said: IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara Click to expand... Wengine wameshakamatwa Tanzania hatushindwi chochote
pingli-nywee said: IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara Click to expand... Wengine wameshakamatwa Tanzania hatushindwi chochote
afande kifimbo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2015 Posts 6,303 Reaction score 2,716 Oct 25, 2020 #83 MK254 said: Action huzaa matunda, sio watu wanaendelea kuchinjwa huku umepiga kimya ukijinadi kuchukua "action", hata mataifa yenye uwezo mara 1,000 zaidi ya Tanzania hutolea tamko pale watu wake wanapochinjwa na magaidi. Click to expand... I understand your point of view.
MK254 said: Action huzaa matunda, sio watu wanaendelea kuchinjwa huku umepiga kimya ukijinadi kuchukua "action", hata mataifa yenye uwezo mara 1,000 zaidi ya Tanzania hutolea tamko pale watu wake wanapochinjwa na magaidi. Click to expand... I understand your point of view.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Oct 25, 2020 #84 passioner255 said: Wengine wameshakamatwa Tanzania hatushindwi chochote Click to expand... achana na hawa machoko hawajui kitu,kazi kuimba imba tu.
passioner255 said: Wengine wameshakamatwa Tanzania hatushindwi chochote Click to expand... achana na hawa machoko hawajui kitu,kazi kuimba imba tu.
1academ JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 2,316 Reaction score 3,567 Oct 25, 2020 #85 jeshi la wazeee tz vp jamani dahhh! nmeona video walinyanganywa kifaru mazeeee dah...magaidi sio poaaa!!!😂
jeshi la wazeee tz vp jamani dahhh! nmeona video walinyanganywa kifaru mazeeee dah...magaidi sio poaaa!!!😂