Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

Ndio maana ya superpower.
 
Bila Mrusi magaidi ya Isis na Isil yangeshafika USA yaliapa.
Yalipelekwa kuzimu yote na marubani wa kike wa kirusi wakisukuma ndege za Sukoh.
Ni haramu kwa gaidi kuuliwa na mwanamke
 
URUSI UNAWEZA KUMUAMINI KUSEMA WALITOROKEA UKRAINI. ZILE BAJAJI ZA DRONI TOKA IRANI MBONA ALIZIKATAA URUSI.
ILO URUSI ANATAFUTA SABABU
 
Kwamba EU walitarajia Putin ashindwe? Hata mwendawazimu anajua Putin angeshinda, mahakama ni zake, katiba ni yake, Duma ni yake akitaka fulani asiwe mbunge hawi, fulani aondolewe ubunge anavuliwa. Wapinzani kaua last time kamuua mpinzani mkuu Navalny miezi miwili sijui kabla ya uchaguzi.

Unafanya as if ushindi wa Putin ni surprise. Ushindi uliokuwa surprise ni wa Erdogan pale Uturuki.
 
Gaidi wa kwanza uyo Apo, keshawekwa mtu Kati, kafinywa kakiri kuhusika.

Wale mliokua mnasema isis wanahusika njoo mtwambie uyu nae ni ISIS au nani
Yani mda huo huo kaaminywa na mda huo huo ameshakili? Unadhani hao ni polosi wa kibongo kwamba haoniwe hadharani akili hapo hapo,

Haya magaidi yamewashika pabaya wafuasi wa putin, Kibaya zaidi yamepiga tukio down town yakasepa mpaka yakajikamatisha vijijini huko
 
Gaidi wa kwanza uyo Apo, keshawekwa mtu Kati, kafinywa kakiri kuhusika.

Wale mliokua mnasema isis wanahusika njoo mtwambie uyu nae ni ISIS au nani
Hao waliingia hadi moscow kushambulia kigaidi. Suala lao wamelifanikisha. Kuwakamata ni vizuri ila binafsi kwa ukubwa wa Urusi naamini walipaswa zaidi kusifiwa kwa kuzuia ugaidi.

Ni sawa na mzazi kumkamata alimpa mwanae ujauzito, atapiga weee ila ndo hivyo tena keshapewa mjukuu.

La muhimu ni Urusi kuimarisha ulinzi wa raia wake tukio lisijirudie.
 
Hivi kati ya magaidi waliokamatwa na watu waliokamatwa baada ya kufeli jaribio la mapinduzi kwenye serikali kama ya Kagame, huwa kundi lipi linakuwa katika wakati mgumu zaidi?
Magaidi kwa nchi gani ? Kwa hao wa Russia wameua mamia ya watu wana wakati mgumu sana.

Na Hao wakumnyofoa PK halafu mchezo ukafeli nao watalamba volcano kama PK anaweza kufuata maadui zake mpaka nchi za nje ndio hao wapange mpango halafu ufeli wawe normal tu ? Sio kwa Mr slim
 
Sasa Putin akishinda wao wanaumia nini? au hivi vikwazo walivyo muwekea vya nini?Mtu kama huna time nae ya nini umuwekee vikwazoo.
 
Ukiisha kamatwa unachoma wenzako walio hai na mawasiliano yao yote.

Hawa subiri waanze kufinywa
 
Urusi walipewa tahadhari na West, Putin akazipuuza na akasema hizo ni taarifa za kuzua taharuki tu kwa Urusi(hadi video iko mitandaoni), sasa unafikiri atakubali ni ISIS??
Wote tunajua nani yuko nyuma ya waliotenda hayo, hata wewe unajua lkn unailazimisha akili yako iamini vingine. Kwahio endelea kuamini ulivyochagua wewe.
 
Wanarudia rudia Ukraine border mara nyingi ili Taarifa ya kupika ionakane ina mashiko
Wanaorudia ISIS nao vipi, nakuweka picha za uongo mitandaon walikua na lengo gani?, wakiongozwa na CNN.
 
Ukiisha kamatwa unachoma wenzako walio hai na mawasiliano yao yote.

Hawa subiri waanze kufinywa
Ni sawa ila kwa ukubwa wa Urusi huwezi kuwasifia kwa kuwakamata maana hilo ni jambo ambalo hata wahusika pengine walijua litatokea. Urusi ilipaswa kuzuia tukio na kuwakamata.
 
Sanctions zinawekwa sababu ya mauaji ya Navalny
Kuna sehemu Russia wamesema Navalny kauliwa na wao?

Wewe uliniambia kila jambo baya linalo ikuta Russia umesema na itaja US?

Sasa why wewe umeitaja Russia kwenye swala la Navalny?Kitu gani kilicho kusukuma kusema hivyo?
 
Taarifa za urusi zinaaminika siyo kama wale wazee wa Holywood marekani na ndugu yake Israel wazee wa kufix mambo. Hongera kwa kuwakamata hao magaidi waminywe pumbu wamtaje aliyewatuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…