Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

Nidhanivyo mimi chanzo kikuu cha ugaidi ni ugumu wa maisha, miongoni mwa magaidi walionaswa mmoja kataja kuahidiwa 54k usd, vijana wengi hujiunga na Al shababu si kwaJili ya dini ni mshahara wa 12ml per month. All n all ukweli kamili utajulikana soon.
 
Huo "ushahidi" unaopatikana baada ya watuhumiwa wa ugaidi kuteswa huwa haukubaliki hata katika mahakama za watu waliostaarabika.

Hao watuhumiwa wanaweza kusema jambo lolote tu ili mradi liwapendeze wanaowahoji. Uchunguzi wa masuala ya ugaidi unahitaji intelijensia pana kuliko nguvu.
 
Magaidi Hawa waoga kufa wao wanauwa halafu mbio magaidi wa mchongo Hawa kazi mzee putin
 
Perfect.......kwa jinsi Urusi ilivyo na Propganda na kuona aibu ya tukio. Wanaweza kuset hata wafungwa waka imitate kama ndio Magaidi wamekamatwa
Hahaha
 
Perfect.......kwa jinsi Urusi ilivyo na Propganda na kuona aibu ya tukio. Wanaweza kuset hata wafungwa waka imitate kama ndio Magaidi wamekamatwa
Hahaha
Ndg why unajifanya una akili sana ndg?

Yaan wewe ndio ulikua unafanya kazi kwa wahindi wakikulipa pesa ya mboga Leo unajifanya ni mchambuzi wa maswala ya kiusalama?

Ungekua na akili ungekua hata Magereza ukichunga wafungwa na mahabusu
 
Taarifa za urusi zinaaminika siyo kama wale wazee wa Holywood marekani na ndugu yake Israel wazee wa kufix mambo. Hongera kwa kuwakamata hao magaidi waminywe pumbu wamtaje aliyewatuma.
Badala uwape pole kwa kuondokewa na wapendwa wao wewe unawapa hongera,
 
Magaidi Hawa waoga kufa wao wanauwa halafu mbio magaidi wa mchongo Hawa kazi mzee putin
Hawa itakua ni wahuni tu wamechorewa mchoro wakapewa pesa ndefu wakaingia mzigoni, wanazidiwa ujasiri na alishabab
 
Sinema tu hapo,
ISIS wameshakiri ni wao.
Yeah!... Ukraine anaangushiwa jumba bovu.

ila Warusi (Putin) wajilaumu kwa kupuuza taarifa walizopewa na Marekani
 
BREAKING: One of The Terrorists, Rustam Azhiyev, Is A Ukrainian Citizen And Fought In The Armed Forces of Ukraine In 2022🇺🇦

@MarioNawfal
 
Attachments

  • IMG_20240323_214600.jpg
    IMG_20240323_214600.jpg
    55.7 KB · Views: 2
  • IMG_20240323_214557.jpg
    IMG_20240323_214557.jpg
    28.4 KB · Views: 2
  • IMG_20240323_214554.jpg
    IMG_20240323_214554.jpg
    101.4 KB · Views: 3
Huo "ushahidi" unaopatikana baada ya watuhumiwa wa ugaidi kuteswa huwa haukubaliki hata katika mahakama za watu waliostaarabika.

Hao watuhumiwa wanaweza kusema jambo lolote tu ili mradi liwapendeze wanaowahoji. Uchunguzi wa masuala ya ugaidi unahitaji intelijensia pana kuliko nguvu.
Kwahiyo wew ndiyo mwenye akili kuzidi majasus wote wa urus?
 
Back
Top Bottom