Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HahahMara ktk kuhojiwa wanaitaja Ukraine na NATO .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahMara ktk kuhojiwa wanaitaja Ukraine na NATO .
Anayehojiwa kali relax kabisa hana wasi wasi....na Sausage za nyanya usoni na mdomoni eti ni damu.Mara ktk kuhojiwa wanaitaja Ukraine na NATO .
Sept 11 Alquida ndio walikiri aseeIsis Wana historia ya kukiri mashambulizi hata ambayo hata hawajahusika, rejea shambuliz la kigaidi turkey na Lile la Sept 11 kule USA
Dini ya mnyaanzi..... Dini ya amaaan.....😄😄😄
Perfect.......kwa jinsi Urusi ilivyo na Propganda na kuona aibu ya tukio. Wanaweza kuset hata wafungwa waka imitate kama ndio Magaidi wamekamatwaHuo "ushahidi" unaopatikana baada ya watuhumiwa wa ugaidi kuteswa huwa haukubaliki hata katika mahakama za watu waliostaarabika.
Hao watuhumiwa wanaweza kusema jambo lolote tu ili mradi liwapendeze wanaowahoji. Uchunguzi wa masuala ya ugaidi unahitaji intelijensia pana kuliko nguvu.
Ndg why unajifanya una akili sana ndg?Perfect.......kwa jinsi Urusi ilivyo na Propganda na kuona aibu ya tukio. Wanaweza kuset hata wafungwa waka imitate kama ndio Magaidi wamekamatwa
Hahaha
Badala uwape pole kwa kuondokewa na wapendwa wao wewe unawapa hongera,Taarifa za urusi zinaaminika siyo kama wale wazee wa Holywood marekani na ndugu yake Israel wazee wa kufix mambo. Hongera kwa kuwakamata hao magaidi waminywe pumbu wamtaje aliyewatuma.
Hawa itakua ni wahuni tu wamechorewa mchoro wakapewa pesa ndefu wakaingia mzigoni, wanazidiwa ujasiri na alishababMagaidi Hawa waoga kufa wao wanauwa halafu mbio magaidi wa mchongo Hawa kazi mzee putin
Yeah!... Ukraine anaangushiwa jumba bovu.Sinema tu hapo,
ISIS wameshakiri ni wao.
Kwahiyo wew ndiyo mwenye akili kuzidi majasus wote wa urus?Huo "ushahidi" unaopatikana baada ya watuhumiwa wa ugaidi kuteswa huwa haukubaliki hata katika mahakama za watu waliostaarabika.
Hao watuhumiwa wanaweza kusema jambo lolote tu ili mradi liwapendeze wanaowahoji. Uchunguzi wa masuala ya ugaidi unahitaji intelijensia pana kuliko nguvu.
Zelensky na ISIS wana uhusiano gan?Zelensky sio wa kubembelezwa yule.Aliwe kichwa
hawakwepo au hawakuwa maarufu?Acha porojo, September 11 2001 ISIS hata hawakuwepo.