Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Sasa hiyo ni mada nyingine maana kama spare za mjerumani hazipatikani kwa urahisi na wewe una mjerumani umempaki tandale uzuri unategemea nini?
 
Mkishakuwa wengi mnaanza kuibiana ibiana. Huyu anagonga taa, usiku jirani yake mwenye ist anavamiwa taa inaibiwa unauziwa wewe.
 
Sasa hiyo ni mada nyingine maana kama spare za mjerumani hazipatikani kwa urahisi na wewe una mjerumani umempaki tandale uzuri unategemea nini?
Nimetoa tu reference gari za kijerumani, kiufupi hata toyota land cruiser v8 unaweza kuipaki tandale uzuri na isiibiwe chochote.

Wizi wa vipuri vya magari Dar unategemea na wingi wa magari hayo, Ist inafatwa popote na vibaka kwa sasa maana zipo nyingi, gari adimu unapaki popote.
 
Kwa hela unayotoa kununua Toyota Crown unachokipata mle ni ziada. Gari ya bei rahisi ambayo inakupa mwendo na comfort( Japanese)
Kama unaweza nunua Crown 2004-7 iwe Athlete or Royal saloon.
Crown nimeiona moja Nairobi ina 2.5 diesel . sijui kama huku kwetu zipo, nahisi itakuwa the best of both worlds.
 
Kitu Alphard au Crown [emoji146]
 
Kama pesa sio tatizo jitwishe Crown! Mle kuna burudani ya hali ya juu usione vijana wenzio tunakimbilia mle, demu wako akipewa lift siku moja tu mle anachagua Lodge ya kupelekwa the next day![emoji12]
Yaan crown ndo mtu anachanganyikiwa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapan kwa kweli. Khaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mama nairo huyo yupo tiktok na YouTube na Instagram, anasema kila gari inakunywa mafuta, hakna gari inayokunywa, Hennessy, castle lager, mchemsho, mbege, supu nk,

Yaan nilicheka ile clip had baas lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…