miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
🤣🤣Mimi kama kijana wa kisasa naendesha hii Faru.Spacio,IST pamoja na takataka nyingine ni kwa ajili ya houseboys na housegirls.
View attachment 1797744
BMW X1 au BMW X3Hivi Karibuni nilikua naona IST ndo y vijana ila naona zimejaa nyingi na pia kuna wimbi kubwa la wizi wa IST
Vijana wenye hela naona wanakimbilia Crown maana sahivi zimejaa sana
Naombeni maoni yenu kua ni gari gani sahivi inafaa kijana wa uchumi wa kati ?
Jaguar kama ile aliyonunua Ontario ndio inaitwaje ShingapiEeh mkuu kuzaliwa maskini sio kosa mkuu! Kosa ni kuendelea kuishi kimaskini online mkuu!
Sijawahi iona hioJaguar kama ile aliyonunua Ontario ndio inaitwaje Shingapi
Hiyo uliyoitaja shingapi mwaga Exposure hizoSijawahi iona hio
Vijana wa kuigana igana siku hizi naona wanaenda mbio na toyota rumion
Inagonga karibu 200M mkuu, kodi ilikuwa 83M plus chombo 105M chief!Hiyo uliyoitaja shingapi mwaga Exposure hizo
Ukinunua gari aina hii ujue hiyo ni ndoa ya milele (tunasema ndoa ya kikristo) maana ukiichoka huna pa kuipeleka, utabakia nayo hadi kifo kiwatenganishe.BMW X6 hapa sibanduki wallah. Gari inashawishi kabisa kukanyaga mafuta huhuhuh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Achukue D4D invincible. Machine kali sana hii hasa upate 5 speed Manual gearbox, utafurahi sana kwenye safari ndefu.Chukua hillux 2.4 single cab. Hapo ni wewe na pisi yako tu,nyuma turubai limekaza muda wote
Gari gani la kimkakati?!Hii ndo shida ya IST
Naskiki kesi za kuibiwa spare za IST na kuibiwa magari zinaongezeka. Niliambiwa pia unakuta muda mwingine funguo za IST zinaingiliana
Mimi natafuta gari la kimkakati kama kijana mwenye malengo ya maisha ya mbeleni
Mada hapa ni kuhusu gari ya mizunguko ya mjini kwa kijana, sasa hiyo mitambo ya kazi na masafa marefu ya nini kwa kijana anayeishi Tegeta na kufanya kazi mwenge?Achukue D4D invincible. Machine kali sana hii hasa upate 5 speed Manual gearbox, utafurahi sana kwenye safari ndefu.
Nadhani alikuwa ana maanisha anataka kununua Trekta. Maana hilo ndio limekaa kimkakati. Anaweza kulimia, kubebea mazao yake kutokea shambani na kukodisha kwa watu.Gari gani la kimkakati?!
Nunua kwa mujibu wa uwezo wako kifedha, pia uangalie na consumption ya mafuta hasa kwa hapa Dar ambapo foleni haziepukiki. Usije jikuta umenunua gari unashindwa hata kuiendesha siku tatu kwa wiki kutokana na utumiaji wake mkubwa wa mafuta. Ukiwa ni mfanyakazi wa serikali basi nakushauri usizidishe gari ya cc 1500.Mshanichanganya sijui hata ninunue ipi..manake zote mshaziponda
Wewe mzee kwenye magari tunaendana sanaHamna gari mle. Achukue Suzuki Grand Escudo
Subaru Forester, XTHivi Karibuni nilikua naona IST ndo y vijana ila naona zimejaa nyingi na pia kuna wimbi kubwa la wizi wa IST
Vijana wenye hela naona wanakimbilia Crown maana sahivi zimejaa sana
Naombeni maoni yenu kua ni gari gani sahivi inafaa kijana wa uchumi wa kati ?
Duu kweli ExposureInagonga karibu 200M mkuu, kodi ilikuwa 83M plus chombo 105M chief!