mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,027
- 1,869
Kuna mtrekta mmoja unaitwa Catapila Ile hata baharini unakatiza ka kambareMi napenda gari ngumu za kazi ambazo nikitaka kwenda popote zinafika bila vikwazo. Iwe on or off road nakatiza tu bila wasiwasi.
Unaogopa kulogwa mkuu. Utafanya maendeleo kweli sasa!!!Mimi nitasubiri sana...
Kwa sabbu walionizunguka wahuni sana,wakishindwa kuloga...huwa wanaloga gari.
Unasikia flani kapata ajali
Hapana Mkuu.Unaogopa kulogwa mkuu. Utafanya maendeleo kweli sasa!!!
Ha haa, ukiiga vya watu utapasuka msamba kijana. Wengi humu ni sifa tu lakini wanaendesha hizo hizo IST tunazoendesha sisi wazee ambao tunapiga budget ya wese.Ni kweli kabisa mkuu bora mm nna PASO yangu na sim yngu nnayotumia ni infinix nikibadili natafuta tecno ili mradi JF naingia. Hizo V8 naishia kuziona tu road na Porsche cayenne nazionaga tu Youtubeπ
Sawa kabisa hiyo unapaki popote huwazi, hata mazda verisa pia si mbayaKama ni uhadimu basi atafute Renault cars
Mkuu maisha ya mtandaoni kila mtu tajiri mtu anakwambia anamiliki BMW X6 na blablaa kibao ukija kwenye uhalisia ata hizo ist na passo anaishia kuziona road tu usafiri wake mkubwa daladala akibadili anapanda bodabodaπππ. Sasa mtu anajitapa ana Bmw X6 gari ya m60 hukoo alaf anatumia sim ya kimasikini kama yangu infinix ndege ikipita angani network inakataπππHa haa, ukiiga vya watu utapasuka msamba kijana. Wengi humu ni sifa tu lakini wanaendesha hizo hizo IST tunazoendesha sisi wazee ambao tunapiga budget ya wese.
Changamka upate nyumba ya kuishi kwanza ndiyo ujifaharishe na magari. Mimi na kigari changu cha IST lakini nyumba yangu Alhamdulillah.
π π π πRumion ipo kwenye chat ila umbile lake kama Lunchbox dah inanipa ukakasi
Hahahahahπ π π π
Ni mara ya pili nakuona unaisema hii gari imekaa kama lunchbox. ...wenyewe hawapendi mkuu.
Naomba liftiWapi wee mbna sijaelewa.
Subil mm nije na BMW si nitawazoa mpaka malecture na mamiss wa chuo kizima[emoji21][emoji21][emoji21]Yaan pale Magu hostel opposite na Mawasiliano Tower, siku za weekend zinajipanga IST na crown, kuchukua totoz za UD, bas zenyewe zinaringa na kujiona zimepatia, mie huwa nachekaga had hoi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
...ungekua we huyo jamaa ungempa mku.nd..ili Tu uendeshe ndinga Kali...afu we waonekana washoboka Sana... watoto namna yako mnafiri.ka Sana mjini ...hii mambo ya kushoboka wanayo maskini....maskini WA nchi hizi za kiafrika...wenzako wadosi hawashobokei ndinga kabisa..maana wanazaliwa wanazikuta....hata nyumba...Mimi wanangu nimejitahidi wasikue namna hii...Kwa kuwapa exposure nje ya nchi nakosafiri mara Kwa mara..shida mama Yao (mke wangu)..nae mshobokaji...lakini shida ni Ile Ile..anakotoka...umaskini....Hapo kwa range rover mie huwa akili inahama, kuna shost angu m1 danga lake alikua na Range Rover kali kinyama kudadadeki, mtoto anaenda nalo chuo, weekend tunakua nalo misele, afu mafuta nakanyaga mie,
Sijui Ali fail wapi eti akatoswa, ***** ningekua mie yule sponsor wallah Jah angenisamehe tyuuh, ningefanya vyovyote nimdhibiti awe chini yangu nahakikisha hafurukuti, yaan mtu ana mpunga, ndinga kali unaanzaje kutoswa daaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nikikumbuka ile ndinga hapan yaan,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Unawaza kama mimi mkuu,, siku kipato kikiwa njema tutakutana humoChukua ford ranger au Nissan Navara, ule utawala mkuu.....