Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

gari nzuri ni hizi


zote zina cc chini ya 700

TOYOTA Pixis Epoch G, 2010>
HONDA Life G, Zest 2010>
NISSAN Moco, Otti 2010>
MITSUBISHI EK Wagon 2010>

DAIHATSU Mira, Move, Esse 2010>
SUZUKI Alto, Wagon R, Palette 2010>
SUBARU Stella, Pleo, Lucra 2010>
MAZDA Carol 2010>
 
Ni kweli kabisa mkuu bora mm nna PASO yangu na sim yngu nnayotumia ni infinix nikibadili natafuta tecno ili mradi JF naingia. Hizo V8 naishia kuziona tu road na Porsche cayenne nazionaga tu Youtube😀
Ha haa, ukiiga vya watu utapasuka msamba kijana. Wengi humu ni sifa tu lakini wanaendesha hizo hizo IST tunazoendesha sisi wazee ambao tunapiga budget ya wese.

Changamka upate nyumba ya kuishi kwanza ndiyo ujifaharishe na magari. Mimi na kigari changu cha IST lakini nyumba yangu Alhamdulillah.
 
Ha haa, ukiiga vya watu utapasuka msamba kijana. Wengi humu ni sifa tu lakini wanaendesha hizo hizo IST tunazoendesha sisi wazee ambao tunapiga budget ya wese.

Changamka upate nyumba ya kuishi kwanza ndiyo ujifaharishe na magari. Mimi na kigari changu cha IST lakini nyumba yangu Alhamdulillah.
Mkuu maisha ya mtandaoni kila mtu tajiri mtu anakwambia anamiliki BMW X6 na blablaa kibao ukija kwenye uhalisia ata hizo ist na passo anaishia kuziona road tu usafiri wake mkubwa daladala akibadili anapanda bodaboda😂😂😂. Sasa mtu anajitapa ana Bmw X6 gari ya m60 hukoo alaf anatumia sim ya kimasikini kama yangu infinix ndege ikipita angani network inakata😂😂😂
 
IMG_0624.jpg

IMG_0625.jpg

Suzuki SX4 2007/2008
 
Yaan pale Magu hostel opposite na Mawasiliano Tower, siku za weekend zinajipanga IST na crown, kuchukua totoz za UD, bas zenyewe zinaringa na kujiona zimepatia, mie huwa nachekaga had hoi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subil mm nije na BMW si nitawazoa mpaka malecture na mamiss wa chuo kizima[emoji21][emoji21][emoji21]
 
Hapo kwa range rover mie huwa akili inahama, kuna shost angu m1 danga lake alikua na Range Rover kali kinyama kudadadeki, mtoto anaenda nalo chuo, weekend tunakua nalo misele, afu mafuta nakanyaga mie,

Sijui Ali fail wapi eti akatoswa, ***** ningekua mie yule sponsor wallah Jah angenisamehe tyuuh, ningefanya vyovyote nimdhibiti awe chini yangu nahakikisha hafurukuti, yaan mtu ana mpunga, ndinga kali unaanzaje kutoswa daaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nikikumbuka ile ndinga hapan yaan,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
...ungekua we huyo jamaa ungempa mku.nd..ili Tu uendeshe ndinga Kali...afu we waonekana washoboka Sana... watoto namna yako mnafiri.ka Sana mjini ...hii mambo ya kushoboka wanayo maskini....maskini WA nchi hizi za kiafrika...wenzako wadosi hawashobokei ndinga kabisa..maana wanazaliwa wanazikuta....hata nyumba...Mimi wanangu nimejitahidi wasikue namna hii...Kwa kuwapa exposure nje ya nchi nakosafiri mara Kwa mara..shida mama Yao (mke wangu)..nae mshobokaji...lakini shida ni Ile Ile..anakotoka...umaskini....

Mimi Kama kungekua na good public transport tz nisingenunua ndinga...ama ningepaki Tu home..lakini ndio hivyo...gari yangu ya kawaida sana BMW X1....Nimekuja nayo toka Germany.....wala sishoboki ..wala wanangu....mama Yao.ndie anaeshobokea..nimemwagizia X5 BMW....
 
Wengi wanapenda gari za Toyota Company kutokana na unafuu na availabilty of spare parts, na mara nyingi parts kadhaa huwa zinaingiliana.

Nyingine kama Benz na BM sawa ila tatizo spare kupata ni ghali na ukipata bei imechangamka.

Chukua IST mwanangu, ikipasuka kioo nusu saa tu umesha replace.


I stand to be corrected.
 
Back
Top Bottom