MiAKA Ya zaman tulikua tunaend pale bwawa la University of Dar es salaam. Sijui kama linafanya kaz. Kipind hicho tunakatiza mori big bon pale kumepak magar ya kiswele sijui yalikuaga yanakufaje kufaje yale maaana unalilkuta zima kabisa ila limepak mpaka linakufa.
SWIMMING,
ACROBATIC,
CHESS
SPEAR,
MAGICAL
hizi zote ni medal tupu na olympic kuna nafas kibao za kushinda. Watoto wa pale IST ndio wana pool la Olympics standard. Eneo kama Kigamboni lina fursa za sports arena lakini dah