Magari ya umeme kutoka China hatiani kupigwa marufuku Ulaya

Tanzania inahitaji gari za gesi ili gesi yake ipate soko, msiwe na akili za kushikiwa.
 
Wachina wanachukua tenda zote za ujenzi Africa huku makampuni ya wazawa yakidumazwa na dollars zikienda China.

Wanachota rasilimali za Africa,

Wameligeuza bara la Africa kuwa soko lao la bidhaa hafifu kuanzia vyombo vya kulia ugali, fenicha mpaka toothpicks. Africa kupata Viwanda kwa mtindo huu ni ndoto.

Kama wanatupenda sana tuwatake Wachina watoe scholarships Africa , walete uwekezaji sahihi, wajenge hospital, watoe mikopo kwa uwazi na wadai uwajibikaji kwa raia kwa watawala wa Africa wanaoshirikiana nao.
 
Unaweza shangaa wakapandisha bei ya umeme na vipuri.
 
Sawa lakini tutakutana na kirungu kingne tena cha tanesco na TRA pale bandarini, nchi hii kupumzika Ni kaburini tu.
TRA Ni matracall umbwa wale
Yaani gari iliyotengenezwa karibuni inapigwa kodi Mara mbili ya bei ya mtengenezaji,halafu wanabweka kua wanahimiza watu wanunue Magari mapya ili kutunza mazingira,hii nchi sijui ina laana gani ?
 
si walete bongo?
 
Huyumama
Huyu mama babu yake alikuwa afisa wa ngazi za juu kwenye Serikali ya KINAZI ya Hitler karithi traits za babu yake za ukatiri na roho jaribu kufatilia kauli zake anapo zungumzia masuala ambayo haya husu western Europe - vhukulia duala hili lakipumbavu Ujerumani inauza magari chungu mzima Duniani, eana viwanda vya kuhunda magari mpaka huko Merikani, Toyota yenyewe inuza mpaka vijigari vidogo vya bei nafuu sana,mbona hilo halisemi anakwenda kusingizia Serikali ya China eti inavipatia subsidy viwanfa vyao kuunda magar ya umeme cheaply - wao wanashindwa nini si technolojia tu, hakuna cha uchawi hapo and Chinese prople are very Harding people and very innovative, huyo mama na genge lake wanataka kuwawekea Uchina kauzibe basi, hawatali ishindane na TESLA.t
 
Tatizo lilianza Mchina kupiga marufuku Iphone kwa matumizi ya ofisi za umma.
Ukimgusa Us umewagusa wazungu wote
Tatizo China akisema afuate mabeberu atayumba, nakumbuka mwaka 2013 kuna watu niliwaambia ndani ya miaka 10 china itakuwa ya kwanza kwenye ku import na ku export.
Leo tunaona haya Germany iko wapi kwa exportation?
Japan iko wapi kwa exportation ya magari, na japan wako sambamba na mabeberu.
 
Tesla anapata upinzani mkali toka kwa BYD ya uchina. πŸ˜€ Watu wengi waki opt kuchukua gari ya kiwango hiko hiko toka China Tesla ataanguka. Ego inawatesa West!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…