Magazeti karibu yote ya leo yapuuza habari za ujio wa Lissu

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.

Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au?

===
Maoni ya Wachangiaji

Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Roho ya kichawi hiyo, umeliona Mwanananchi na Nipashe? Au unazungumzia gazeti la Uhuru? Jambo la msingi Lissu amefika mengine so lazima sana
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Nani kakudanganya kwamba ujio wa Tundu Lissu ni tukio kubwa?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Tumeiona live coverage Al-Jazeera, BBC, Sauti ya Ujerumani, VOA nk inatosha.
Watoa pesa wanafuatilia mtu wao, jana kilibuma sana.. pangechapika hadi sasa wangekuwa wanareport live. Waambie wafuatilie mambo yao TZ ni tamu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…