Magazeti karibu yote ya leo yapuuza habari za ujio wa Lissu

Magazeti karibu yote ya leo yapuuza habari za ujio wa Lissu

Huko kwenu mwinduro bonde ndani ndani kuna al jazeera!
Nadhani haujafahamu kuwa kwa watu wa vijijini ndani ndani, ni rahisi kupata habari katika TV kuliko katika gazeti. Huo umbali usikutishe, unaweza ukapata habari za Uarabuni kupitia TV kwa urahisi kuliko kupitia gazeti
 
Yaani Jana Serikali nimeipongeza sana, ilijua namna ya kuruka ule mtego. CHADEMA walikusanya watu kila kona kwenda kumpokea Lissu licha ya katazo la polisi. Wakajua polisi watazuia yale maandamano ili itokee vurugu wapate headlines na sympathy kama walivyozoea. Matokeo yake wameachwa wamecheza movie yao, walivyomaliza wakaenda kukojoa wakalala. Leo wameamka wanataka vyombo vya habari vyote viripoti upuuzi wakati tuna msiba wa kitaifa.
Kama alivyokunya mwenyekit wako na kutumia kongote kutao mabaki ya mavi mtaron kisha akaenda kulala kwa pressure huku haamin kama upinzani bado upo wakat alisema 2020 hautakuwepo.
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Ndugu yangu na wanabodi. Msiba huu ni mzito na ni machungu kwa binadamu yeyote mwenyewe upeo wa kujitambua. R.I.P. WBMKapa.
 
Kama alivyokunya mwenyekit wako na kutumia kongote kutao mabaki ya mavi mtaron kisha akaenda kulala kwa pressure huku haamin kama upinzani bado upo wakat alisema 2020 hautakuwepo.
Sasa kwa akili yako unaona kuna upinzani hapa? Au kuna vikundi tu vya wahuni. Subiri baada ya Oct.28 tutajua kama kuna huo upinzani ama la.
 
Watashindana lakini hawatashinda.

Wasubili Oktoba ndo utajua, wanashindana na kushinda.
Huyo tundu hana jipya hapa tanzania.

Huyo Tundu wakati bado ana ubunge alisema haogopi kuja na akipona tu anakuja
Nyie mashabiki mkasema haogopwi mtu sijui nini, mara akabadilisha gia angani, naogopa kuja wataniua,
Nyie mashabiki mkasema ni bora asirudi maana maisha ni bora kuliko ujio wake na akawapa hofu muamini kuna wasionulikana wana muwinda.

Mara jana huyooo JKNIA pale tena anawaondoa hofu yeye mwenyewe eti msiwe na hofu, kwa hiyo hao waliokuwa wanamuwinda amemalizana nao au?

Vinginevyo watakuwa wanajuana na hao wasiojukikana.
Mnadanganywa mapaka hamjitambui.

Na kama haogopi inabidi mjue hata huko nyuma alikuwa anadanganya juu ya uoga wake.
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?

Kuna watu bado wanasoma magazeti kwa ulimwengu huu wa kisasa kweli.
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Ulitaka habari iwe Lisu ili iweje, watanzania walio wengi wameona kupitia Simu, vyombo vya habari vinafahamu wanachokifanya ndio maana hawajawa wajinga kiasi hicho msiba kama huu wa kitaifa uharibiwe na makuwaidi na watanzania 90% hawamfahamu Lissu ila Mkapa wanamfahamu
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Mwananchi linatosha

Jr[emoji769]
 
Ulitaka habari iwe lisu ili iweje,watanzania walio wengi wameona kupitia Simu,vyombo vya habari vinafahamu wanachokifanya ndio maana hawajawa wajinga kiasi hicho msiba kama huu wa kitaifa uharibiwe na makuwaidi na watanzania 90% hawamfahamu lissu ila mkapa wanamfahamu.
Kwa study ipi?
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Ni woga tu Ila siyo kwamba hawajui katua.
 
Back
Top Bottom