Magazeti karibu yote ya leo yapuuza habari za ujio wa Lissu

Tumeiona live coverage Al-Jazeera, BBC, Sauti ya Ujerumani, VOA nk inatosha.
Jamii ya Kati (middle-class) hizi media kubwa ulizozitaja kwao Ni msamiati.

Asilimia kubwa wanazitambua local media tbccm na hiyo ITV ambayo nayo ishapoteza credibility!
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Msiwe na haraka, baada ya mazishi ya Kitaifa ya Rais wetu mstaafu, mutazisikia na zote ambazo hamkuzisikia
 
Bila hiyo habari nani atanunua hayo magazet like lililoandika hio habari ndio litauza uandike msiba wa Mkapa utegemee kuuza labda Lumumba ndio watanunua
Kumbe wewe uko tayari kuuza utu kwa fedha loh, Lisu si habari kwa sasa hata kidogo.
 
Watu wanamlaumu Makonda bure .... Engineer wa huu mchezo anajulikana.

Anyway, Social media inasambaza ujumbe kuliko hayo magazeti na TV zao. Almost kila mtazanzania anafahamu kuwa Lissu alitua jana na ilikuwa ni nyomi ya kufa mtu!!
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
sasa unategema nini kwenye nchi ya auto-cratic?
 
Huko kwenu mwinduro bonde ndani ndani kuna al jazeera!
Bonde ndiko elimu ilikoanzia inaelekea hujui hilo, huko wanaangalia CNN, BBC, Sky News, al jazeera, voa na sio vitu vya hovyo vya kuambiwa cha kuandika au kuonyesha.
 
Kwa study ipi?
Mbona iyo inaeleweka wewe chukua wenye simu janja nchini kama 15%kati yao wenye bando 9%wanaomshabikia kati yao 2%sasa utaona ukubwa wake ulitokana na simu janja maana kabla ya magu lisu alikuwa maarufu eneo la bunge na baada ya magu kuchaguliwa akawa maarufu mtandoni baada ya kutengeneza matukio,sasa nikuulize kuna television gani?au radio inayorusha hotuba za lisu zaidi ya online ambazo zinaitaji simu janja.
 
Radio zimepigwa ban, online hawana uwezo wa kuzicontrol,jiulize Nani huwa anaangalia tv za ndani zenye cooked news na aache habari sahii online.Wengi awatazami cooked news.
 
Bonde ndiko elimu ilikoanzia inaelekea hujui hilo, huko wanaangalia cnn, bbc, sky news, al jazeera, voa na sio vitu vya hovyo vya kuambiwa cha kuandika au kuonyesha.
Naona bonde kaya wamekuja juu!
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Hivi, kama kila raia atakeyekuwa anashuka JNIA magazeti yana andika hayo ya ujio wao, kweli wahariri wa magezeti tungesema hawana kazi za kufanya. Tanzania ina mambo mengi sana ya kuripotiwa siyo kila raia anayeshuka kutumia Ethiopia Airway aripotiwe, ni mpuuzi tu ambaye anaweza kuifanya hiyo kazi
 
Magazetii kitu gani...dunia ya magazetini isha piitwa na wakati
 
Radio zimepigwa ban, online hawana uwezo wa kuzicontrol,jiulize Nani huwa anaangalia tv za ndani zenye cooked news na aache habari sahii online.Wengi awatazami cooked news.
Kuna wakati lazima mukubali kuwa magufuri amefanya kazi ya kutosha kama ambavyo lisu alipata umaarufu kupitia kulopoka ndivyo magufuli amepata umaarufu kupitia kazi,sio kila ambaye anabadili mawazo amebanwa si kweli mfano mimi naamini kuwa upinzani ni muhimu na nivibaya nchi kutokuwa na upinzani lakini kwa suala la magu tuliache kama lilivyo amewajibika vya kutosha.
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Hili litakusaidia ujue ni % ngapi chadema watapata kwenye kura October. Kama kuna magazeti 100 na 1 tu ndolimempa ukurasa wa mbele Lissu, basi ni 1% ya kura zote! Kama ni magazeti 50, basi ni 2%.hivyo hivyo fanya mahesabu.
Indicators ni hizo msije mkaanza kulalamika.
 
Hata sisi wahariri tuna familia pia.
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
cha ajabu ni kipi, definitely wanaogopa kufungiwa. Wathubutu waandike kesho wanaanza kutafutiwa sababu ya faini na kufungiwa. The Obvious!
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Hata waache kuandika. Tuliona live kwenye TV na mitandaoni. Na tukasikiliza redio za inje kama DW na BBC.
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?

Kuna jambo kubwa la kitaifa hiyo ndio sababu
 
Back
Top Bottom