Magazeti karibu yote ya leo yapuuza habari za ujio wa Lissu

Hahaha magazeti mnayoongelea ni yapi hasa, Uhuru, Tanzanite na alnuru?!

Magazeti yote yaliishafungiwa acheni uzushi jamani, hakukua na gazeti la kuandika habari.
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Hata TV jana nyinginzilipuuza lakini haiondoi ukweli kwamba mwamba kaja kupambana na yesu wa Lumumba kwenye sanduku la kula,kama alijua anakubalika sana basi jana kapata majibu mazuri
 
Sio kupuuza wanaogopa kufungiwa,utumwa huo utaisha October
 
Dikteta amefanya Watanzania tuwe waoga. Vyombo vya habari vilikwisha ambiwa, "You have the freedom but not to that extent". Hiyo ilikuwa kwenye TV mubashara. Kila mmoja amerudisha kichwa kwenye nyumba yake kama kobe ili upepo upite kwanza.
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Jiulize kwani magazeti mengi yamefungiwa pia usiwatabirie waandishi waandike nini maana habari ya Lissu wengi wameipata nje ya magazeti unapo andika bango la tangazo linatakiwa liseme nisome mimi nisome mimi, ninunue mimi ninunue mimi. kwako wewe unaweza dhani habari ya Lissu ndiyo iwe habari
 
Amri kutoka juu 'msionyeshe ujio wa huyu mtu' wakionyesha ndio hivyo tena sababu za kufungiwa hutafutwa kwa udu na uvumba!
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.

Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au?
Nani anataka Gazeti lake lifungiwe?
watu kufurahi nyoyoni mwao inatosha na baadhi kusongwa nyoyo kwa kuona TL akirejea ni sonono
Mengine muwe mnanyamaza KUNA MSIBA WA KITAIFA RIP MZEE MKAPA.
 
Tanzania vyombo vya habari viliishakufa kitambo na hilo hata rais wa Kenya Bw. Uhuru Kenyatta nilimsikia akiliongelea jana kiaina.

Sio siri kwamba kwenye utawala wa kiimla wahanga wa kwanza kabisa ni Media, Wanaharakati na Wapinzani sasa katika mazingira hayo habari za Lissu watazitangazaje.

Vyombo vya habari tulivyo navyo waingereza wanaviita "Sycophantic Media".
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.

Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au?
Tuko busy na msiba hatuna habari na wasaliti sisi.
 
Tanzania vyombo vya habari viliishakufa kitambo na hilo hata rais wa Kenya Bw. Uhuru Kenyatta nilimsikia akiliongelea jana kiaina.

Sio siri kwamba kwenye utawala wa kiimla wahanga wa kwanza kabisa ni Media, Wanaharakati na Wapinzani sasa katika mazingira hayo habari za Lissu watazitangazaje.

Vyombo vya habari tulivyo navyo waingereza wanaviita "Sycophantic Media".
Hamia huko kwenye vyombo vya habari unavyovipenda.
 
Wacha weee, hata lile la mwenyekiti?

Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.

Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au?
 
Siyo wanapuuza!Usichokijua ni kwamba Tanzania magazeti yalishawekwa mfukoni na mtu mmoja.

If you don't read the newspaper, you're uninformed, if you do read it, you're misinformed!
Kila jukwaa ninalokukuta nondo zako zinashabihiana na jukwaa husika, kongole mkuu
 
Back
Top Bottom