Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mnajifariji poleni sana . Huyu ndo Tundu Antipas LissuTuko busy na msiba hatuna habari na wasaliti sisi.
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au?
Kuliko kununua hivyo vipeperushi bora ukaongeza mb zakoNani anasoma hayo Magazeti ya Jiwe ?
Niache kupata habari JF nikanunue Makaratasi ya kufungia Chapati, si bora nikatoe Sadaka
ITV wamekuwa wasenge sana nilikuwa nawaheshim but now staki hata kuwaonaToka jana hao ITV sitaki hata kuwasikia,sasa hivi wamekuwa ITVCCM.
Hili litakusaidia ujue ni % ngapi chadema watapata kwenye kura October. Kama kuna magazeti 100 na 1 tu ndolimempa ukurasa wa mbele Lissu, basi ni 1% ya kura zote! Kama ni magazeti 50, basi ni 2%.hivyo hivyo fanya mahesabu.
Indicators ni hizo msije mkaanza kulalamika.
kaka tuchatiNimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au?
===
Maoni ya Wachangiaji
Msigwa Alikuwa akapewa air time Sana siku hiyo akamporomoshea matusi Naibu spika Tulia Ackson liveITV wamekuwa wasenge sana nilikuwa nawaheshim but now staki hata kuwaona
Mtoa mada afananishe Uhuru na Mwanachi atapata jibu zuri kabisaNinavyojua ukifunika chungu kilichopo jikoni ndio kinachemka zaidi.
Kwa hiyo yule mpuuzi aliyewaita watu wapumbavu na marofa alikuwa anaandika sera zenu za chuki?Msigwa Alikuwa akapewa air time Sana siku hiyo akamporomoshea matusi Naibu spika Tulia Ackson live
ITV wakalipishwa faini ya milioni 15 na TCRA kwa kukiuka sheria za utangazaji kwa kurusha matusi ya Mchungaji.Msigwa
Toka hapi ITV wanawaogopa Chadema Kama ukoma kuwa ukiwapa airtime midomo Yao isivyo na breki Wala adabu saa yoyote jiandae kufungiwa na TCRA
Vyombo vyetu vya habari Sasa vimeelevuka vinaandika news za uhakika na ushahidi tu .Ukijitopokea visivyo na ushahidi hawaandiki Wala kurusha hewani
Lisu anatakiwa kulijua Hilo kuwa kwa Sasa kuwa hewani sion kuchonga mdomo tu anatakiwa kuongea point zenye. Ushahidi na takwimu verifiable
Nyalandu Yuko vizuri Ni mwanasiasa anayesimama kwenye hoja sio attacks . Anasimama kwenye Ilani ya chama. Chake . Tofauti na Lisu ambaye saa zote anawaza kupambana na Magufuli!!! Chadema Kama chama Cha siasa kitafute mtu ambaye atasimamia ilani ya chama na kuitekeleza sio wa kupambana na mtu
CCM huwa tunashinda sababu hutafuta watu tunaowaona kuwa wanasimamia ilani ya Chama na ukiangalia wagombea uraisi wote Huwezi kumpata mwongeaji Sana domokaya Kama Lisu
Kwa Chadema mgombea ambaye sio domokaya na presidential material Ni Nyalandu .Ana caliber ya uraisi.Yuko organized and focused na pesa ya kampeni ya Ugombea uraisi anayo hawezi sumbua chama Wala wanachama
Chadema Ni chama chenye mlengo wa kibepari Kama ilivyo Marekani hivyo wagombea wake wanatakiwa kuakisi mlengo huo.Lisu hayuko.kwenye kundi akisi la mlengo huo.Lowasa aliakisi na Nyalandu anaakisi,Mbowe anaakisi ,yule mama mgombea mwenye mume mwenye TV na Radio pia anaakisi but certainly not Lisu or mchungaji Msigwa!!!
Wahariri karibu wote ni watia nia ubunge kupitia CCMNimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au?
===
Maoni ya Wachangiaji
Nonsense.Hamia huko kwenye vyombo vya habari unavyovipenda.
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au?
===
Maoni ya Wachangiaji