Magazeti karibu yote ya leo yapuuza habari za ujio wa Lissu

Magazeti karibu yote ya leo yapuuza habari za ujio wa Lissu

Kwani kuandika ametokwa chozi nayo ni habari!! Kwanini asitokwe chozi wakati alisaidiwa kuokota dodo kwenye mbuyu!!
Huwezi nunua gazeti eti kujua chozi lilitokaje!
Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika!
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.

Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au?

===
Maoni ya Wachangiaji
Ilitegemea habari za Lissu ziandikwe kwenye magazeti ya udaku unayosoma wewe? Mbona hata the Citizen iliandika habari ya Lissu?
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.

Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au?

===
Maoni ya Wachangiaji
Na sisi hayo magazeti tumeyapuuza sana
 
Back
Top Bottom