Magazeti karibu yote ya leo yapuuza habari za ujio wa Lissu

Magazeti karibu yote ya leo yapuuza habari za ujio wa Lissu

Chombo changu niamuliwe cha kuandika?
 
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.

Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au?

===
Maoni ya Wachangiaji
Anzisha gazeti lako kurasa zote weka KURUDI KWA TAL.
 
Wahariri karibu wote ni watia nia ubunge kupitia CCM
Chadema Ina maana hawako strategic wanapoteza media kuwakubali sababu hawajui kuwavutia media Kwao wawakubali mbona 2015 media zote zilikuwa na Chadema kurusha na kuchapisha habari? Lisu Hana nyota na media atafute mtu labda wa kusafisha nyota yake kwenye media za Tanzania huko Twitter anawaka vyombo vya nje anawaka vya Tanzania Yuko zero na ambako ndio kwenye wapiga kura.CNN,BBC DW na Aljazeera nk hawapigi kura na Ni watanzania wachache huangalia au kusikiliza nikiwemo Mimi na huko Twitter na YouTube huwa naingia Sana Sana Mara moja kwa mwezi
 
Media ya nin kwa lissu by the way lissu haitaji media ila media zinamuhitaji lissu na usipoandika au kurusha habari za lissu kibiashara umefail kama huamin waulize inline TV bando nyingi zimetumika kwenye habari ipi.
 
Wasubili Oktoba ndo utajua, wanashindana na kushinda.
Huyo tundu hana jipya hapa tanzania.

Huyo Tundu wakati bado ana ubunge alisema haogopi kuja na akipona tu anakuja
Nyie mashabiki mkasema haogopwi mtu sijui nini, mara akabadilisha gia angani, naogopa kuja wataniua,
Nyie mashabiki mkasema ni bora asirudi maana maisha ni bora kuliko ujio wake na akawapa hofu muamini kuna wasionulikana wana muwinda.

Mara jana huyooo JKNIA pale tena anawaondoa hofu yeye mwenyewe eti msiwe na hofu, kwa hiyo hao waliokuwa wanamuwinda amemalizana nao au?

Vinginevyo watakuwa wanajuana na hao wasiojukikana.
Mnadanganywa mapaka hamjitambui.

Na kama haogopi inabidi mjue hata huko nyuma alikuwa anadanganya juu ya uoga wake.
Nani kakuambia wewe na genge lako mna umuhimu kuliko wengine ?!. Kama Lissu hafai basi acting ni zaidi ya uozo
 
Media ya nin kwa lissu by the way lissu haitaji media ila media zinamuhitaji lissu na usipoandika au kurusha habari za lissu kibiashara umefail kama huamin waulize inline TV bando nyingi zimetumika kwenye habari ipi.
Tulia wewe kipindi Cha uchaguzi na kuelekea uchaguzi media hutaka kulipwa kuandika habari au kukutangaza hawategemei mauzo ya magazeti tu sababu kukutangaza. Mgombea Ni tangazo la biashara hilo

Huna pesa nobody atakuweka front page kipindi Cha kuelekea uchaguzi
kipindi hiki
 
Tuyaonee huruma magazeti yetu, tusiyalaumu.
Ni wazi kuwa kwa kuandika habari za lissu wangeuza sana magazeti yao. lakini kwanini hawajazipa kipaumbele? -- ni wa kuwaonea huruma tu ,lakini ipo siku watafanya biashara nzuri.
Japo wanatakiwa wajue kuwa mafanikio hayaletwi kwenye sahani bali hutafutwa.
 
Back
Top Bottom