Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Gazeti la Uhuru na Habari leo linafika huko?Huko kwenu mwinduro bonde ndani ndani kuna al jazeera!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gazeti la Uhuru na Habari leo linafika huko?Huko kwenu mwinduro bonde ndani ndani kuna al jazeera!
Al jazeera ipo Doha wao wanapata matangazo tuHuko kwenu mwinduro bonde ndani ndani kuna al jazeera!
Uko vizuri upstair, jamaa wa Ufipa wanatumika bila kujua kumbe mwenzao anapiga pesa.Watoa pesa wanafuatilia mtu wao, jana kilibuma sana.. pangechapika hadi sasa wangekuwa wanareport live. Waambie wafuatilie mambo yao TZ ni tamu mno.
Unashangaa leo? tangu utawala huu uwepo kuna habari tofauti inayotangazwa?Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Kwa chadema tu labda.Nani kakudanganya kwamba ujio wa Tundu Lissu ni tukio kubwa?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwanza nikusahihishe kidogo. Katika magazeti ambayo angalau yanaonekana kuwa ni magazeti, MWANANCHI na MAJIRA yameiripoti ukurasa wa mbele habari ya ujio wa LISU. Kwamba magazeti mengine hayakuripoti (au yaliipa uzito kidogo kwa kuiweka ndani labda) haliwezi kuwa jambo la kushangaza. Jambo la kushangaza ingekuwa magazeti yote, yakiwemo yanayogharimiwa kumtukana Lissu, yangeipa uzito habari hiyo.Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Hata kama kweli hawajaandika haifuti ukweli kwamba jana watu wengi walijitokeza kumpokea TAL.Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
YouTube?Huko kwenu mwinduro bonde ndani ndani kuna al jazeera!