L lukoma JF-Expert Member Joined Jul 1, 2013 Posts 2,995 Reaction score 2,246 Jul 29, 2020 #161 Kwani kuandika ametokwa chozi nayo ni habari!! Kwanini asitokwe chozi wakati alisaidiwa kuokota dodo kwenye mbuyu!! Huwezi nunua gazeti eti kujua chozi lilitokaje! Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika!
Kwani kuandika ametokwa chozi nayo ni habari!! Kwanini asitokwe chozi wakati alisaidiwa kuokota dodo kwenye mbuyu!! Huwezi nunua gazeti eti kujua chozi lilitokaje! Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika!
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Jul 29, 2020 #162 Gulwa said: Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee. Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au? === Maoni ya Wachangiaji Click to expand... Ilitegemea habari za Lissu ziandikwe kwenye magazeti ya udaku unayosoma wewe? Mbona hata the Citizen iliandika habari ya Lissu?
Gulwa said: Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee. Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au? === Maoni ya Wachangiaji Click to expand... Ilitegemea habari za Lissu ziandikwe kwenye magazeti ya udaku unayosoma wewe? Mbona hata the Citizen iliandika habari ya Lissu?
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jul 29, 2020 #163 Gulwa said: Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee. Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au? === Maoni ya Wachangiaji Click to expand... Na sisi hayo magazeti tumeyapuuza sana
Gulwa said: Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee. Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au? === Maoni ya Wachangiaji Click to expand... Na sisi hayo magazeti tumeyapuuza sana