Magharibi walitudanganya kuhusu demokrasia, Trump kama Lissu TU.

Ni wapumbavu, hawana demokrasia, wanatudanganya sisi mazuzu TU. Trump walitaka kumuua kama vile Lissu walivyotaka kumuua hapa. Akili kichwani

View: https://youtu.be/PvyYcx0YKLo?si=c35U2vk62XKMcN1k

Kwani demokrasia yenyewe imesokea wapi??

Kama demokrasia ni kitu kizuri nadhani tuige na tuiendeze kuwazidi wao ili huko mbeleni waje kujifunza kwetu

Akili za kiafrika zinawaza na kinasa mambo mabaya tu

Bado mna akili mgando nyie maccm
 
Kwani kila anayetowa maono yake tofauti na wewe ni CCM!
 
Aliyepiga risasi amepigwa pale pale na kufa, Lissu CCTV Camera zilienda kufichwa na mageti yaliachwa wazi
Maumivu ya risasi ni yaleyale bila kujali aliyepiga kafa au Yuko hai. Walijaribu kumfungulia kesi Trump ikashindikana, na walijaribu kumfungulia kesi Lissu nae ikashindikana, hivyo wote walitakiwa kunyamazishwa kwa risasi. Tofaiti Iko wapi? Hakuna demokrasia bwana weee hata huko magharibi, ni ujinga TU wametujaza.
 
Siyo kama hii ya kijinga ya kwetu tunaishi kwa hisani ya Rais
 
Kama demokrasia inafanyakazi basi anzia kwenye familia Yako kwanza ili uone matokeo yake. Mtoto anakwambia hataki kwenda shule unamwambia sawa, anagoma kumeza dawa ya malaria unamwambia sawa, hataki kula unamwambia sawa, anarudi usiku wa manane unamwambia sawa mwanangu, hataki kufanya homeworks za shuleni unamwambia sawa TU, anavuta taulo ulilovaa kutoka kuoga unamwambia sawa.
Kwani demokrasia yenyewe imesokea wapi??

Kama demokrasia ni kitu kizuri nadhani tuige na tuiendeze kuwazidi wao ili huko mbeleni waje kujifunza kwetu

Akili za kiafrika zinawaza na kinasa mambo mabaya tu

Bado mna akili mgando nyie maccm
 
Siyo kama hii ya kijinga ya kwetu tunaishi kwa hisani ya Rais
Mbona Uingereza Wana familia Moja TU inayowaongoza miaka yote? Wanaishi kwa hisani ya malkia/mfalme lakini sisi mburura tunaona kuwa Uingereza Kuna demokrasia.
 
Kama demokrasia inafanyakazi basi anzia kwenye familia Yako kwanza ili uone matokeo yake. Mtoto anakwambia hataki kwenda shule unamwambia sawa, anagoma kumeza dawa ya malaria unamwambia sawa, hataki kula unamwambia sawa, anarudi usiku wa manane unamwambia sawa mwanangu, hataki kufanya homeworks za shuleni unamwambia sawa TU, anavuta taulo ulilovaa kutoka kuoga unamwambia sawa.
Kwendaaaa !!! hujui maana ya demokrasia Rudi shule kijana
 
Ukiwa mtumwa ni mtumwa milele

Nadhani waafrica wengi bado mna akili za kitumwa

demokrasia ilikuja kuondoa watu utumwani
Lakini bado Kuna mbuzi zinataka kutawaliwa kitumwa

Kuna mbuzi inatoa mfano wa waingereza kutawaliwa na ufalme

Kwani waingereza wakikosea Dunia yote ikosee

Elimu bado haijawakomboa watz reasoning yao ni. Finyu sana
 
Maumivu ya risasi ni yaleyale bila kujali aliyepiga kafa au Yuko hai. Walijaribu kumfungulia kesi Trump ikashindikana, na walijaribu kumfungulia kesi Lissu nae ikashindikana, hivyo wote walitakiwa kunyamazishwa kwa risasi. Tofaiti Iko wapi? Hakuna demokrasia bwana weee hata huko magharibi, ni ujinga TU wametujaza.

tofauti aliyejaribu kumuua Trump ameuawawa na vyombo vya dola. Wakati waliojaribu kumuua Lissu wanalindwa na mamlaka za dola.
 
Sijaelewa. Kama Lissu yaani waliofanya mashambulizi hawajakamatwa au?
 
Everything is fake, nothing is real
Sure kaka, walikula kwetu kututawala kwa nguvu, walitufanyishakazi kwa nguvu, walitupora kwa nguvu wakajilimbikizia mitaji. Magereza yao yamejaa wafungwa hasa wa kiume, wanaangusha mabomu kwa Kila anaekataa kunyonywa lakini ss maskini wanatulazimisha tuwe na demokrasia ambayo wao hawana, hawakuwa nayo na hawatakuwa nayo milele.

Kama tungezingatia demokrasia ya kipumbavu basi Nyerere asingeweza kuanzisha vijiji vya ujamaa, magufuli asingehamishia serikali Dodoma kwa njia Ile, bwawa la Nyerere lisingejengwa. Wakoloni waliwahamisha wamasai kutoka Serengeti kwenda ngorongoro lakini sasa eti ni mwiko kuwahamisha wamasai kutoka ngorongoro kwenda msomera Handeni. Upuuzi mtupu tumelishwa.
 
Ubaya wa demokrasia Nini?

Ukiwauliza wanaoponda demokrasia watuambie ni mfumo Gani unatufaa kutawala siasa na uchumi hawana majibu

Watawala wengi wa dunia wa zama hizi huchipua na kustawi kwa kupitia demokrasia wakifika juu wakanogewa wakaanza kuiba huanza kuiponda na kuikataa demokrasia

Mfano ni magufuli
 
Back
Top Bottom