Maghayo & Bichwa KOMWE ndio Couple bora ya Muda wote kuwahi kutokea JF

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Mzuka wana Jamvi ?

Yerereeeeeerreereerreereyere ree!!!

Zimepita couple nyingi Jf Real na Fakes , Serious and for Jokes , Za Siri na za Wazi ila mpka sasa sijaona ya kufika kati ya Maghayo The Mongolian Savage na Binti mrembo pisi Kali Jf nzima BICHWA KOMWE - Tokea Jambo forum mpk sasa Jamii Afrika.

NB : Huu Uzi unaenda kwa facts na sio mihemko kama unabisha weka data zako hapa , usinifokee usije kunitafutia Ban.
Sababu zangu .

1. kuendana tabia ya utukutu ; hakuna humu asiyejua Maghayo ile kichwa ni habari nyingine kama kichaa ni mtoto mtukutu kwenye battles humu hata nyau de adriz hatamani vita nae tena .

Bichwa KOMWE ; nae ni kichwa Cha Fujo full of violence sasa imagine Hawa watu wapo pamoja tena ni wqpenzi heheheh!! violence love and cruel romance will take place.

2. Wote wanapenda bange ,; Maghayo anakiwasha mbaya kwenye misokoto na yeye Bichwa KOMWE anapuliza bange kama yai ndani nyumba inageuka Moshi.

3. Kupenda mambo ya ajabu ; Bichwa KOMWE anapenda dume awe na harufu ya Kibeberu mixer minuko na yeye Maghayo ndio vitu vyake mixer mambo ya Mbrrr Mbrrr mbrrrrr!!! kama pichani inavyojieleza
IMG_20250215_184626 (1).jpg

Kuna mengine mengi nitashare humu baadae kujazia nyama huu Uzi.

Je maoni yako ni yapi kuhusiana na hii couple? nakaribisha comments
 
Mzuka wana Jamvi ?

Yerereeeeeerreereerreereyere ree!!!

Zimepita couple nyingi Jf Real na Fakes , Serious and for Jokes , Za Siri na za Wazi ila mpka sasa sijaona ya kufika kati ya Maghayo The Mongolian Savage na Binti mrembo pisi Kali Jf nzima BICHWA KOMWE - Tokea Jambo forum mpk sasa Jamii Afrika.

NB : Huu Uzi unaenda kwa facts na sio mihemko kama unabisha weka data zako hapa , usinifokee usije kunitafutia Ban.
Sababu zangu .

1. kuendana tabia ya utukutu ; hakuna humu asiyejua Maghayo ile kichwa ni habari nyingine kama kichaa ni mtoto mtukutu kwenye battles humu hata nyau de adriz hatamani vita nae tena .

Bichwa KOMWE ; nae ni kichwa Cha Fujo full of violence sasa imagine Hawa watu wapo pamoja tena ni wqpenzi heheheh!! violence love and cruel romance will take place.

2. Wote wanapenda bange ,; Maghayo anakiwasha mbaya kwenye misokoto na yeye Bichwa KOMWE anapuliza bange kama yai ndani nyumba inageuka Moshi.

3. Kupenda mambo ya ajabu ; Bichwa KOMWE anapenda dume awe na harufu ya Kibeberu mixer minuko na yeye Maghayo ndio vitu vyake mixer mambo ya Mbrrr Mbrrr mbrrrrr!!! kama pichani inavyojielezaView attachment 3333750

Kuna mengine mengi nitashare humu baadae kujazia nyama huu Uzi.

Je maoni yako ni yapi kuhusiana na hii couple? nakaribisha comments
Maghayo mzee wa N de A
 
Taarifa za kijasusi zinasema penzi linaelekea kufa baada ya Maghayo The Mongolian Savage kuzembea na Vijana wa hovyo kama Mbaga Jr na secretarybird wameanza kumfukuzia Bichwa KOMWE, je Maghayo atakubali ?

Endelea Kusubsrcibe huu Uzi kwa taarifa zaidi
BICHWA KOMWE - alipogundua kuwa secretarybird nina shoo ya kibabe na ya kipekee sasa ameshaanza kumtafutia kosa mwenza wake ili atumia kama kisingizio cha kumwacha na kuja kwangu nimchape kwa fimboyaukwaju ambayo ina sifa ya kutokuvunjika.

Mimi ndo Bwana Utam
 
Back
Top Bottom