Maghayo & Bichwa KOMWE ndio Couple bora ya Muda wote kuwahi kutokea JF

Maghayo & Bichwa KOMWE ndio Couple bora ya Muda wote kuwahi kutokea JF

Mzuka wana Jamvi ?

Yerereeeeeerreereerreereyere ree!!!

Zimepita couple nyingi Jf Real na Fakes , Serious and for Jokes , Za Siri na za Wazi ila mpka sasa sijaona ya kufika kati ya Maghayo The Mongolian Savage na Binti mrembo pisi Kali Jf nzima BICHWA KOMWE - Tokea Jambo forum mpk sasa Jamii Afrika.

NB : Huu Uzi unaenda kwa facts na sio mihemko kama unabisha weka data zako hapa , usinifokee usije kunitafutia Ban.
Sababu zangu .

1. kuendana tabia ya utukutu ; hakuna humu asiyejua Maghayo ile kichwa ni habari nyingine kama kichaa ni mtoto mtukutu kwenye battles humu hata nyau de adriz hatamani vita nae tena .

Bichwa KOMWE ; nae ni kichwa Cha Fujo full of violence sasa imagine Hawa watu wapo pamoja tena ni wqpenzi heheheh!! violence love and cruel romance will take place.

2. Wote wanapenda bange ,; Maghayo anakiwasha mbaya kwenye misokoto na yeye Bichwa KOMWE anapuliza bange kama yai ndani nyumba inageuka Moshi.

3. Kupenda mambo ya ajabu ; Bichwa KOMWE anapenda dume awe na harufu ya Kibeberu mixer minuko na yeye Maghayo ndio vitu vyake mixer mambo ya Mbrrr Mbrrr mbrrrrr!!! kama pichani inavyojielezaView attachment 3333750

Kuna mengine mengi nitashare humu baadae kujazia nyama huu Uzi.

Je maoni yako ni yapi kuhusiana na hii couple? nakaribisha comments
Akili za Maghayo a.k.a The Mongolian Savage
unnamed.png
 
Back
Top Bottom