Maghorofa Magomeni kumbukumbu inayoishi ya John Pombe Magufuli

SIO KWA WATANZANIA BALI KWA WALIOPANGISHWA NYUMBA WEWE UKAE UNAKUMBUKA HUKU UMEPANGA UTAKUWA MWEHU
 
Tunahitaji maendeleo....
Mambo aliyoyafanya Nyerere ndio aliyoyafanya Magufuli. Yet unakuja kumponda Nyerere na kumsifia Magufuli kwa mambo yale yale.

Ukieleweshwa unaibuka na kauli "Tunahitaji maendeleo.."

Sasa tuambie unaungumzia maendeleo gani? ya vitu au watu?

Kama ni MAENDELEO YA VITU basi Nyerere na Magufuli wapongezwe. Kama ni MAENDELEO YA WATU (hasa pesa mfukoni) pongezi zimfikie Mwinyi..

Ila kutuambia Magufuli anamzidi Nyerere unadhihirisha usivyojua lolote kuhusu wawili wale.
 
Wewe ni mbumbu na mzungu wa reli kabsa,unasema kipindi cha mwinyi kulikuwa na pesa mfukoni?,sina hakika kama ulikuwepo,hakuna kipindi kilikuwa kigumu na maisha magumu kama kipindi cha mwinyi,
 
Pesa za kununulia ndege moja ya kisasa ya ATCL huenda ingetosha kujenga majengo kama yale ya magomeni katika mikoa kumi.

Magufuli alikuwa ni mtu wa ovyo ovyo kabisa.
Mkuu manunuzi ya ndege ni muhimu sana kwa mustakabali mzima wa uchumi wa taifa. Watu tatizo letu tunaangalia leo tu na tunamhukumu JPM kwa upeo wetu unaoishi leo tu.
 
Wewe ni mbumbu na mzungu wa reli kabsa,unasema kipindi cha mwinyi kulikuwa na pesa mfukoni?,sina hakika kama ulikuwepo,hakuna kipindi kilikuwa kigumu na maisha magumu kama kipindi cha mwinyi,
Hakuna kipindi chepesi tangu awamu ya kwanza ya Nyerere, kuwa na pesa mfukoni au kutokuwa nazo ni ujanja wako na wepesi wa akili yako.
 
Vijana hawaelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…