[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] looh me mwenyewe nimecheka kwa kweli..sio kwa vituko hiviHuu uzi comments nyingi zimejaa vituko....yaani nacheka hadi watu wananiambia wanaume hawachekagi sana namna hiyo...sasa naomba mpunguze vituko humu ndani
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kwaio haraka ya kuuza godoro imeishaGodoro halina haraka.. burudani kwanza..
Katumie na wewe uoleweVipi ma Mkwe ushamtimua? Ila mke mwenzio aliezaa na mmeo kakuzidi sifa za kuwa mke ila ulipata bahati ya kuolewa kama sio matumizi ya ufundi ndumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] karibuWee hauna hata mia.
Hivi kuna mahali nimeandika nataka kuuza haraka enhee!..[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kwaio haraka ya kuuza godoro imeisha
Wewe ni MPUMBAVU.Hivi haya nayo ni magodoroo au matandiko ya mbwa?
DUUHH!! Unasema kweli [emoji15] [emoji15]View attachment 506429
Mwenzenu mpaka sasa bado sijaona tatizo la magodoro yangu.. mpaka nahisi huyu ladyAj sio yule mwanamke niliyezaa nae nikamtelekeza kweli!!..
Na yeye alikuwa anapendaga kujiita lady hivyo hivyo ingawa alikuwa na nyonga ya kiume..DUUHH!! Unasema kweli [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiiii umemjibu vzr kweliii....Ukishanunua sitokupangia matumizi.. unaweza hata kuwalazia mbwa.. ni uamuzi wako ndugu..
Binafsi nayalalia mwenyewe.
Mwambieee alfu unakuta hata hilo analoliita LA kulazia mbwa hana wala hajawahi kununua au kufikiria hata kile cha nusu nchi kimemshindaaaLugha yako sio mzuri sie wengine tunalalia mkeka nimeumia sana na kauli yako.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Haaa haaaa niuzie yote nikalalie maana..Kulalia mkeka nimechoka
wamefanana tabiaNa yeye alikuwa anapendaga kujiita lady hivyo hivyo ingawa alikuwa na nyonga ya kiume..
Huna lolote mjusiii tu weweHata kama utaumia ukweli lazima uambiwe.
Hiyo avatar bado hubadilishi tuShibe mwana malevya... Vidole havilingani kauli hizi zitakuponza
Saaaaana ndiyo maana mama mkwe wake hawapataniEti huyu naye ni mke wa mtu!!!
Juzi kaja na uzi kule MMU akimshtumu mama mkwe wake.
Wanaume tuwe makini kwa kweli kwenye kuoa, namhurumia mwanaume mwenzangu aliyemuoa huyu.
SaaaanaAf mdada kama huyu ambae ana roho kama hii lady nan sjui anaonekana ana sura mbaya sana..af katakua kanakisiran