Magonjwa ya zinaa(STDs) ni pigo la Mungu kwa wazinzi na waasherati?

Helicobacter pylori (H. pylori) ni bakteria wanaoishi tumboni na kusababisha vidonda vya tumbo na gastritis. Hao hawapo kwenye kundi la STDs kwa sababu wanaenezwa kwa kula chakula au kunywa maji machafu
Sasihi , hawajaingia kwenye hilo kundi lakini kulana denda witn affected person kunaambukiza bakteria huyu hatari
 
Amina sana. Nimezipenda hizo fonts zako. Zimenikumbusha zile typewriters za zamani
Shaka Ondoa Mtumishi....Nami Pia Napenda Kila Kitu Kwako...Haswa Maandiko Yako Bora Mnoo..Kwa Wale Walio Tayari Kuenenda Na Neno la Bwana....Ubarikiwe Mnoo...​
 
Asante sana kwa kunitia moyo. Ubarikiwe sana
 
Vipi kuhusu wanyama, Maana nao wanapata magonjwa ya zinaa STD'S
Wanyama hawahesabiwi dhambi kama wanadamu. Magonjwa wanayopata wanyama ni matokeo ya laana iliyoipata dunia yote kwa ujumla baada ya Adam na Hawa kutenda dhambi, sio adhabu ya uzinzi na uasherati
 
Well indeed
Indeed, your approbation is most gratifying.
May discernment and sagacity continue to illuminate your contemplations, that the profundity of these truths may resonate ever more perspicuously in the realm of reason and faith
 
Perchance the epithet ‘crazy’ merely intimates the cognitive dissonance provoked by the convoluted interplay of morality, causality, and divine adjudication; what strikes one as preposterous may, upon perspicacious rumination, manifest as an intricate lattice of verities hitherto unperceived 😎
 
Hyperreligiosity.
 
Hyperreligiosity.
Oh, my friend, ‘hyperreligiosity’?
Could what you perceive as excess merely betray a superficial apprehension of ardent devotion? What seems immoderate to the casual gaze may, under judicious scrutiny, reveal an intricate lattice of conviction, prudence, and theological exactitude
 
Indeed, your approbation is most gratifying.
May discernment and sagacity continue to illuminate your contemplations, that the profundity of these truths may resonate ever more perspicuously in the realm of reason and faith
Mhmh🤣🤣
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: Mahondaw
Loh, umefufuka na mwili ule ule?
Binadamu sio wabishi ila akili za wengi zimetiwa giza na ibilisi ndio sababu wakipigwa, wanaendelea tu kutenda kinyume na mapenzi ya Mungu (2 Kor 4:4).
Msalimie Mahondaw mwambie namuombea sana, naamini siku moja ataokoka kama mimi
 
Indeed, your approbation is most gratifying.
May discernment and sagacity continue to illuminate your contemplations, that the profundity of these truths may resonate ever more perspicuously in the realm of reason and faith
Very bombastic
 
Back
Top Bottom