Magonjwa ya zinaa(STDs) ni pigo la Mungu kwa wazinzi na waasherati?

Well said
 
Kuacha ngono ni ngumu coz ni nature and nature is constant huwez shindana na mifumo ya mwili endocrine systems zina produce hormone husika na zinakuwa polluted into blood streams huwez kuescape nature imagine waislam wanapenda kitimoto(chair fire)japo kwa secret ila wanajifanya kuihate ,nature ya kitu ni unchanged
 
Sijakushauri uache. Nimekuambia kama huwezi kujizuia, oa au olewa. Usifanye uzinzi. Matokeo ya uzinzi ndiyo hayo magonjwa ya zinaa.
 
Hayo ni magonjwa yametengezwa maabara na binadam mwenzio!
 
thank u to science, hayo yoote yanatibika/kufubazwa, magonjwa HATARI ni yale ambayo si ya kuambukiza i.e shinikizo la damu na majanga yake, kisukari, baridi yabisi n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…