Magori: Selemani Mwalimu mchezaji gani yule wa kumlipia Tsh. Bil. 1 kwa mkopo?

Waliamini katika professionalism na makubaliano ya mdomo. Of course timu nyingi huwa zinafanya hivyo.

Tofauti hapo ni Yanga kuingilia deal ili kuvuruga mchakato mzima na kuzima kelele ambazo zishaanza kutokea kwao baada ya kupoteza mechi huku wakifunikwa vibaya sana na Aigles Du Congo.
Ni wazi wamezidiwa kete na upande wa pili, ila hii kauli ya magori ni kujifariji tu baada ya Hali hiyo kutokea
 
Sawa. Lakini hana thamani ya Bilioni kaka.! Assume wewe ndo upo kwenye Uongozi, unatoa Bilioni kwa Sele Gomez?
Shida sio hiyo , uhuni ,uongo na fix kwa mashabiki na wadau wa simba ndio tatizo, inaonekana viongozi wa Simba hawana maono yoyote ya maana zaidi ya kutufariji tu.
 
Kwasababu chochote kinaweza kutokea, sitoshangaa akifunga. Lakini tukiwa wa kweli Sele Mwalimu hana thamani ya Bilioni tena kwa mkopo.
Me nahisi simba walitaka wawatamanishe yanga wamchukue kwa pupa! Ili wao waangalie mtu mwingine! Mnamkumbuka musa bala ,conte walivyomdaka haraka kumbe jamaa hana anachojua kwenye soka
 
Kwa hiyo wewe binafsi unaona sele ni mchezaji kweli kweli?
Kama hujaelewa uliza ueleweshwe. Klabu ilishatoa taarifa za kuendelea naye pia si alipigiwa video call... Sasa huyo Magori anamponda nini?!
Screenshot_2026-08-11_130056.jpg
 
Kuna wakati nilikuwa namuona Ngungu boy ni shida pale Simba lakini nimekuja kujua kuwa Poti ni shida zaidi. Nina hakika kabisa asilimia 100% pesa ya MO iliyotumika hovyo kwenye usajili pale Simba kwa miaka 3 - 5 iliyopita wangepewa watu wanojua kutafuta wachezaji na kujua siasa za mpira wa kibongo the likes of Kaburu, Kasim Dewji, Said Tuli, Dalali, Kaduguda, Julio, Rage, Nkwabi kuwataja wachache Simba isingedhalilika hivi. Hao jamaa hata kama ingetokea wangepiga hela kidogo bado wangeleta wachezaji wenye viwango na Simba kule Zanzibar ingebeba lile kombe la shirikisho kwa fitina ambayo ingetembea pale. Hii ya kujifanya one man show ya Poti ndiyo hiyo kudhalilika sasa unamtangaza mchezaji Jumamosi ikifika Jumanne asubuhi mchezaji anaamkia kwa mahasimu wako. Kwani hata Hersi si inawezekana anapiga kidogo lakini kwa kuwa kazi inaonekana sio tajiri wala wana Yanga wanaoweza kuhoji kwa sababu wao kila mwisho wa msimu ni makombe tu yanamiminika.

Ni hasara kuwa na mtu ambaye anajifanya sio mpigaji halafu sasa sajili zake kimeo. Kwa wasiojua huyo jamaa alitumwa mara mbili amlete Manzoki lakini kila akienda akirudi ni stori tu anasubiri eti mkataba uishe amsainishe akiwa mchezaji huru. Jamaa wakaamua kuwakomesha Simba kwa kumuuza Manzoki kabla mkataba haujaisha.

Nafikiri kitendo cha kujifanya kuwa anazionea huruma pesa za tajiri kwa kupenda kusajili wachezaji huru (waliomaliza mikataba) ndio zilizomfanya Mo akamsogeza kuwa chawa wake mkuu bila kujua jamaa anafanya juu chini watu wenye weledi wasimfikie MO na Simba kama timu ndiyo inayopoteza zaidi.

Na kwa huu uswahili wao wajichunge sana maana kocha waliyenaye hana ujinga ujinga siku isiyo na jina linaweza kutokea la kutokea. Kwa sababu ukiangalia wachezaji aliowaleta Barker wana impact kubwa halafu linganisha sasa na hao wachezaji walioletwa kimagumashi kama Doumbia sidhani kabisa kama lile ni chaguo la kocha ila inabidi ajikaze kiume kuficha aibu kama mtu mzima.

Ni mtizamo tu
 
huna hoja ww tulia dawa iwaingie kama anatakatisha nenda na ushahidi mfungulie kesi
mengine nikuchafua watu kwa husda zako
Nyie ndio wale mnaolipwa na Msigwa mapesa mara mbili ya goli la mama, mkiambiwa mtoe ushahidi mnaishia kumtisha aliyewauliza maswali magumu.

Mna pesa za dhulma.
 
Kuna wakati nilikuwa namuona Ngungu boy ni shida pale Simba lakini nimekuja kujua kuwa Poti ni shida zaidi. Nina hakika kabisa asilimia 100% pesa ya MO iliyotumika hovyo kwenye usajili pale Simba kwa miaka 3 - 5 iliyopita wangepewa watu wanojua kutafuta wachezaji na kujua siasa za mpira wa kibongo the likes of Kaburu, Kasim Dewji, Said Tuli, Dalali, Kaduguda, Julio, Rage, Nkwabi kuwataja wachache Simba isingedhalilika hivi. Hao jamaa hata kama ingetokea wangepiga hela kidogo bado wangeleta wachezaji wenye viwango na Simba kule Zanzibar ingebeba lile kombe la shirikisho kwa fitina ambayo ingetembea pale. Hii ya kujifanya one man show ya Poti ndiyo hiyo kudhalilika sasa unamtangaza mchezaji Jumamosi ikifika Jumanne asubuhi mchezaji anaamkia kwa mahasimu wako. Kwani hata Hersi si inawezekana anapiga kidogo lakini kwa kuwa kazi inaonekana sio tajiri wala wana Yanga wanaoweza kuhoji kwa sababu wao kila mwisho wa msimu ni makombe tu yanamiminika.

Ni hasara kuwa na mtu ambaye anajifanya sio mpigaji halafu sasa sajili zake kimeo. Kwa wasiojua huyo jamaa alitumwa mara mbili amlete Manzoki lakini kila akienda akirudi ni stori tu anasubiri eti mkataba uishe amsainishe akiwa mchezaji huru. Jamaa wakaamua kuwakomesha Simba kwa kumuuza Manzoki kabla mkataba haujaisha.

Nafikiri kitendo cha kujifanya kuwa anazionea huruma pesa za tajiri kwa kupenda kusajili wachezaji huru (waliomaliza mikataba) ndio zilizomfanya Mo akamsogeza kuwa chawa wake mkuu bila kujua jamaa anafanya juu chini watu wenye weledi wasimfikie MO na Simba kama timu ndiyo inayopoteza zaidi.

Na kwa huu uswahili wao wajichunge sana maana kocha waliyenaye hana ujinga ujinga siku isiyo na jina linaweza kutokea la kutokea. Kwa sababu ukiangalia wachezaji aliowaleta Barker wana impact kubwa halafu linganisha sasa na hao wachezaji walioletwa kimagumashi kama Doumbia sidhani kabisa kama lile ni chaguo la kocha ila inabidi ajikaze kiume kuficha aibu kama mtu mzima.

Ni mtizamo tu
Hili gazeti halina paragraph!

Ajichunge asiyejua kutimiza promise mpaka akakiri mwenyewe alikuwa tayari kuja Simba.

Sio Simba wajichunge kwa kukataa kutoa mapesa mengi kwa ajili ya mchezaji wa mkopo.

Hiyo akili matope ipo kwa watakatisha fedha tu.
 
Kuna wakati nilikuwa namuona Ngungu boy ni shida pale Simba lakini nimekuja kujua kuwa Poti ni shida zaidi. Nina hakika kabisa asilimia 100% pesa ya MO iliyotumika hovyo kwenye usajili pale Simba kwa miaka 3 - 5 iliyopita wangepewa watu wanojua kutafuta wachezaji na kujua siasa za mpira wa kibongo the likes of Kaburu, Kasim Dewji, Said Tuli, Dalali, Kaduguda, Julio, Rage, Nkwabi kuwataja wachache Simba isingedhalilika hivi. Hao jamaa hata kama ingetokea wangepiga hela kidogo bado wangeleta wachezaji wenye viwango na Simba kule Zanzibar ingebeba lile kombe la shirikisho kwa fitina ambayo ingetembea pale. Hii ya kujifanya one man show ya Poti ndiyo hiyo kudhalilika sasa unamtangaza mchezaji Jumamosi ikifika Jumanne asubuhi mchezaji anaamkia kwa mahasimu wako. Kwani hata Hersi si inawezekana anapiga kidogo lakini kwa kuwa kazi inaonekana sio tajiri wala wana Yanga wanaoweza kuhoji kwa sababu wao kila mwisho wa msimu ni makombe tu yanamiminika.

Ni hasara kuwa na mtu ambaye anajifanya sio mpigaji halafu sasa sajili zake kimeo. Kwa wasiojua huyo jamaa alitumwa mara mbili amlete Manzoki lakini kila akienda akirudi ni stori tu anasubiri eti mkataba uishe amsainishe akiwa mchezaji huru. Jamaa wakaamua kuwakomesha Simba kwa kumuuza Manzoki kabla mkataba haujaisha.

Nafikiri kitendo cha kujifanya kuwa anazionea huruma pesa za tajiri kwa kupenda kusajili wachezaji huru (waliomaliza mikataba) ndio zilizomfanya Mo akamsogeza kuwa chawa wake mkuu bila kujua jamaa anafanya juu chini watu wenye weledi wasimfikie MO na Simba kama timu ndiyo inayopoteza zaidi.

Na kwa huu uswahili wao wajichunge sana maana kocha waliyenaye hana ujinga ujinga siku isiyo na jina linaweza kutokea la kutokea. Kwa sababu ukiangalia wachezaji aliowaleta Barker wana impact kubwa halafu linganisha sasa na hao wachezaji walioletwa kimagumashi kama Doumbia sidhani kabisa kama lile ni chaguo la kocha ila inabidi ajikaze kiume kuficha aibu kama mtu mzima.

Ni mtizamo tu
Magori kachokaa sasa apumzike na Simba, mpira umemshinda stories nyingi, vitendo 0. Kwa umri Magori anaweza kumzaa Hersi, nimemfahamu toka akiwa mwalimu CBE ni muda sasa wa kuwaachia damu changa wenye kujua mishe mishe za usajili wakapambana na watu wa rika lao kama Hersi. Magori ni zilipendwa kwa hilo jibu tu hapo inaonekana amepitwa na wakati.
 
Naanza kuamini "utakatishaji " unaofanywa na kampuni fulani kupitia timu fulani.
Mchezaji hana thamani ya B1, anayekubali kutoa ana sababu zake nnje ya sababu za ukweli, uwazi na uhakika.

Dogo Allan C, nipigie simu tafadhali nikukumbushe kitu kijana wangu, ni mimi baba yako wa Uzunguni - Dodoma.
 
Shida sio hiyo , uhuni ,uongo na fix kwa mashabiki na wadau wa simba ndio tatizo, inaonekana viongozi wa Simba hawana maono yoyote ya maana zaidi ya kutufariji tu.
Mkuu, kwa hiyo wamekaa wameona waje kutufariji, watani wanatucheka vile viongozi wanavyotudanganya,, ahadi hewa,
Ila hata Manzoki ilikuwa hivi akaja hadi simba day,,
 
Kuna wakati nilikuwa namuona Ngungu boy ni shida pale Simba lakini nimekuja kujua kuwa Poti ni shida zaidi. Nina hakika kabisa asilimia 100% pesa ya MO iliyotumika hovyo kwenye usajili pale Simba kwa miaka 3 - 5 iliyopita wangepewa watu wanojua kutafuta wachezaji na kujua siasa za mpira wa kibongo the likes of Kaburu, Kasim Dewji, Said Tuli, Dalali, Kaduguda, Julio, Rage, Nkwabi kuwataja wachache Simba isingedhalilika hivi. Hao jamaa hata kama ingetokea wangepiga hela kidogo bado wangeleta wachezaji wenye viwango na Simba kule Zanzibar ingebeba lile kombe la shirikisho kwa fitina ambayo ingetembea pale. Hii ya kujifanya one man show ya Poti ndiyo hiyo kudhalilika sasa unamtangaza mchezaji Jumamosi ikifika Jumanne asubuhi mchezaji anaamkia kwa mahasimu wako. Kwani hata Hersi si inawezekana anapiga kidogo lakini kwa kuwa kazi inaonekana sio tajiri wala wana Yanga wanaoweza kuhoji kwa sababu wao kila mwisho wa msimu ni makombe tu yanamiminika.

Ni hasara kuwa na mtu ambaye anajifanya sio mpigaji halafu sasa sajili zake kimeo. Kwa wasiojua huyo jamaa alitumwa mara mbili amlete Manzoki lakini kila akienda akirudi ni stori tu anasubiri eti mkataba uishe amsainishe akiwa mchezaji huru. Jamaa wakaamua kuwakomesha Simba kwa kumuuza Manzoki kabla mkataba haujaisha.

Nafikiri kitendo cha kujifanya kuwa anazionea huruma pesa za tajiri kwa kupenda kusajili wachezaji huru (waliomaliza mikataba) ndio zilizomfanya Mo akamsogeza kuwa chawa wake mkuu bila kujua jamaa anafanya juu chini watu wenye weledi wasimfikie MO na Simba kama timu ndiyo inayopoteza zaidi.

Na kwa huu uswahili wao wajichunge sana maana kocha waliyenaye hana ujinga ujinga siku isiyo na jina linaweza kutokea la kutokea. Kwa sababu ukiangalia wachezaji aliowaleta Barker wana impact kubwa halafu linganisha sasa na hao wachezaji walioletwa kimagumashi kama Doumbia sidhani kabisa kama lile ni chaguo la kocha ila inabidi ajikaze kiume kuficha aibu kama mtu mzima.

Ni mtizamo tu
Hakika hauna uchawa wowote ule,
Safi,, tukiwa na mashabiki kama wewe inapendeza
 
Mkuu, kwa hiyo wamekaa wameona waje kutufariji, watani wanatucheka vile viongozi wanavyotudanganya,, ahadi hewa,
Ila hata Manzoki ilikuwa hivi akaja hadi simba day,,
Sana , hatana viongozi wenye maona ya kimpira mkuu
 
Shida sio hiyo , uhuni ,uongo na fix kwa mashabiki na wadau wa simba ndio tatizo, inaonekana viongozi wa Simba hawana maono yoyote ya maana zaidi ya kutufariji tu.
Kuchafuka bahari ni kawaida.

Mbona Simba kafanya usajili bora sana dirisha dogo na hatuwasifii viongozi wetu? Kwa uzoefu wangu, mashabiki wa Simba wapesi sana kumezwa na propaganda.

Umeona Ngoma alivyocheza 'fyongo' kwenye Yanga Day? Umeona akipigwa presha yoyote na mashabiki wao?
Angalia huku Simba, Doumbia kidogo tu kila mtu anamponda.

Hii mentality kwa mashabiki wenzangu lazima ibadilike.
Nakubaliana na wengi, kuna sehemu uongozi wetu unatuyumbisha, ila vurugu za usajili ni kawaida sana. Tangu enzi za kina Victor Costa 'nyumba' huko mpaka leo hakuna cha ajabu.

Yanga walipigwa 'Knouckout' kwenye usajili wa Keletso Makgalwa, aliyekuja Simba, umeona kuna kelele huko?

Huu mchezo hautaki hasira.! Ngoma Nagwa hii.!
 
Sawa muda utaamua
 
Mkuu, kwa hiyo wamekaa wameona waje kutufariji, watani wanatucheka vile viongozi wanavyotudanganya,, ahadi hewa,
Ila hata Manzoki ilikuwa hivi akaja hadi simba day,,
Yanga wamedanganywa wanatambulisha Namba 6 ya mpira, ilitambulishwa?!

Ni haki kuchukia kwasababu tunachekwa mtaani.

Ila trust me, tukifanikiwa kupata matokeo kwenye mechi ya kesho kila kitu kitabadilika. Time will tell.!
 
Back
Top Bottom