Magori: Selemani Mwalimu mchezaji gani yule wa kumlipia Tsh. Bil. 1 kwa mkopo?

Yanga wamedanganywa wanatambulisha Namba 6 ya mpira, ilitambulishwa?!

Ni haki kuchukia kwasababu tunachekwa mtaani.

Ila trust me, tukifanikiwa kupata matokeo kwenye mechi ya kesho kila kitu kitabadilika. Time will tell.!
Matokea tutapata je ni ya kushinda au kufungwa? Sele akicheza anatupia
 
Hili gazeti halina paragraph!

Ajichunge asiyejua kutimiza promise mpaka akakiri mwenyewe alikuwa tayari kuja Simba.

Sio Simba wajichunge kwa kukataa kutoa mapesa mengi kwa ajili ya mchezaji wa mkopo.

Hiyo akili matope ipo kwa watakatisha fedha tu.
Wakati mwingine muoneeni huruma Mo. Yule naye ni binadamu sio kwa kumpiga kule. Huku mmemletea Mwangosi haijatosha mmemletea Doumbia. Na mbaya zaidi mmeamua kumdhalilisha duniani live kwa video call ya Mwalimu.
 
Matokea tutapata je ni ya kushinda au kufungwa? Sele akicheza anatupia
Ni mchezaji wa kawaida. Faida yake ni mzawa tu, hajazi nafasi za usajili.

Kama kutotoa Bilioni kwaajili ya mkopo ni uzembe wa viongozi, basi na mimi nautamani huo uzembe.

Namuelewa Hersi na Yanga yake kwanini amepush hili deal kwa nguvu. Muda utaongea.
 
Yanga wamedanganywa wanatambulisha Namba 6 ya mpira, ilitambulishwa?!

Ni haki kuchukia kwasababu tunachekwa mtaani.

Ila trust me, tukifanikiwa kupata matokeo kwenye mechi ya kesho kila kitu kitabadilika. Time will tell.!
Kwa miaka ya hivi karibuni simba tumekuwa wanyonge katika usajili unakubaliana na hili? Najua we ni mwanasimba mwenzangu ila nakusihi acha kuwaamini viongoz wetu, wagaigai kinoma noma,
Yanga wana kawaida moja ile siku ya kufunga dirisha la usajili usiku mnene wanashusha chuma,, This time Yanga wadead kinoma, tumekuwa underdog kila sajili😂

Tulivyomkosa Aziz Ki nikajua kabisa zile zama zetu za kupora pale jangwani kwisha kabisa, huu mwaka wa 5 tunapelea tu,
Jamaa wanamwaga pesa hatari,,

Pale EPL si unaona mwalabu anafanya kufuru na man cty, mpira pesa izi chuplichupli hazina afya kabisa
 
Tunaweza kulaumu kushindwa kukamilisha deal kwa wakati. Na kuuma kuna kuja kwasababu tumeshazoea kuzodoana kati ya Simba na Yanga.

Lakini hebu tusemezane kwa upole, je Sele Mwalimu anathamani ya Bilioni 1 kwa mkopo?!

Last season yote alikuwa anatokea benchi na hata sisi mashabiki hatukuwahi kumwamini Sele Mwa
Wapi umeona bil.1? Au ukivyosikia Huyo mbwabwajaji ndo ukaamini? Mangungu ni kiongozi Bora siyo Magori kutafuta fursa.
 
Kwa miaka ya hivi karibuni simba tumekuwa wanyonge katika usajili unakubaliana na hili? Najua we ni mwanasimba mwenzangu ila nakusihi acha kuwaamini viongoz wetu, wagaigai kinoma noma,
Yanga wana kawaida moja ile siku ya kufunga dirisha la usajili usiku mnene wanashusha chuma,, This time Yanga wadead kinoma, tumekuwa underdog kila sajili😂

Tulivyomkosa Aziz Ki nikajua kabisa zile zama zetu za kupora pale jangwani kwisha kabisa, huu mwaka wa 5 tunapelea tu,
Jamaa wanamwaga pesa hatari,,

Pale EPL si unaona mwalabu anafanya kufuru na man cty, mpira pesa izi chuplichupli hazina afya kabisa
Narudia, viongozi wa Simba wengi wagaigai na kona kona nyingi.

Ila wakiruhusu kutumia pesa nyingi kwa aina ya mchezaji kama Mwalimu, watakuwa mataahira zaidi.

Dirisha hili, Simba kampiga 'Knouckout' Yanga kwa Keletso, unajua hilo?

Wenzetu wameinvest kwenye propaganda hususani kwenye vyombo vya habari ndo mana habari mbaya za Simba zina trend kuliko njema.

Unafahamu wachezaji wangapi wa kigeni wa Yanga waliosajiliwa dirisha lililopita la usajili bado wapo?! Umeona kuna chochote kinaongelewa kuonyesha kuwa walifeli kwenye sajili zilizopita?!

Akili mtu wangu.!
 
huna hoja ww tulia dawa iwaingie kama anatakatisha nenda na ushahidi mfungulie kesi
mengine nikuchafua watu kwa husda zako
Hakuna cha husda...

Hiyo ni common sense tu...

Kuna namna pesa ya GSM ni nyepesi kupatikana.
 
Kwasababu chochote kinaweza kutokea, sitoshangaa akifunga. Lakini tukiwa wa kweli Sele Mwalimu hana thamani ya Bilioni tena kwa mkopo.
Thamani yake kubwa kwenye kuwavuruga wapinzani.
Hii inaenda kuwagawa na kufubaza mauzo ya jezi na mahudhurio ya wanasimba kwenye kurasa za mitandao za Simba na viwanjani
Inaweza kuwarudisha nyuma wadhamini klabu ikapoteza mapato tarajiwa ....
Fikiria mbali.
 
Hakuna mwanasimba anayemuona Selemani mwalimu kama mchezaji wa daraja la juu sana, kinachowauma ni kudanganywa na uongozi.
Nimeona sehemu Magori akijisifu kufanya umafia wa Inonga ukweli aliyefanya umafia ni marehemu Hanspope yeye abaki kuwa chawa wa mo.
 
Thamani yake kubwa kwenye kuwavuruga wapinzani.
Hii inaenda kuwagawa na kufubaza mauzo ya jezi na mahudhurio ya wanasimba kwenye kurasa za mitandao za Simba na viwanjani
Inaweza kuwarudisha nyuma wadhamini klabu ikapoteza mapato tarajiwa ....
Fikiria mbali.
Ndio mana nikasema, mashabiki wenzangu ni wepesi kumezwa na presha na propaganda kutoka upande wa pili.

Yani wadhamini washindwe kuja sababu ya Sele Gomez?!

Zaidi ya 90% ya sajili za Yanga last season wote walikuwa magarasa na wameondoka. Mbona hakuna mdhamini aliekimbia?
 
Narudia, viongozi wa Simba wengi wagaigai na kona kona nyingi.

Ila wakiruhusu kutumia pesa nyingi kwa aina ya mchezaji kama Mwalimu, watakuwa mataahira zaidi.

Dirisha hili, Simba kampiga 'Knouckout' Yanga kwa Keletso, unajua hilo?

Wenzetu wameinvest kwenye propaganda hususani kwenye vyombo vya habari
Nashukuru umelitambua kwa sasa viongozi wetu wanapelea,
Yanga wameshajua mazaifu yetu yako wapi, wanapiga mlemle kwenye mshono, ivi unakumbuka ile simba ya Bwalya, Kagere, Mugalu, morrison, hapo sijamtaja Chama, luis M'son😂,,, waliteseka sana,,
Nakumbuka Mo alisema anatamani Yanga ifike level za Simba,, Sasa wameshafika level zetu Pesa iko mfukoni, sisi pesa iko bank,, dahh hatari sana, Oya tukubali tu viongozi wetu jau
 
Ndio mana nikasema, mashabiki wenzangu ni wepesi kumezwa na presha na propaganda kutoka upande wa pili.

Yani wadhamini washindwe kuja sababu ya Sele Gomez?!

Zaidi ya 90% ya sajili za Yanga last season wote walikuwa magarasa na wameondoka. Mbona hakuna mdhamini aliekimbia?
Bado hujajua mbinu za biashara.
Rudia kusoma maelezo yangu.
 
Moja ya viongozi wasio na busara wala weledi kwenye kuongea.
 
Thamani yake kubwa kwenye kuwavuruga wapinzani.
Hii inaenda kuwagawa na kufubaza mauzo ya jezi na mahudhurio ya wanasimba kwenye kurasa za mitandao za Simba na viwanjani
Inaweza kuwarudisha nyuma wadhamini klabu ikapoteza mapato tarajiwa ....
Fikiria mbali.
100% huu ni ukweli, japo watapinga mkuu.
 
Ndio mana nikasema, mashabiki wenzangu ni wepesi kumezwa na presha na propaganda kutoka upande wa pili.

Yani wadhamini washindwe kuja sababu ya Sele Gomez?!

Zaidi ya 90% ya sajili za Yanga last season wote walikuwa magarasa na wameondoka. Mbona hakuna mdhamini aliekimbia?
Mkuu ameandika ukweli mtu,
Jaribu kumsoma kwa mara nyingine tena huenda ukamwelewa vzuri
 
Money laundering
Hapa ndipo tunapo mkumbuka JpM.
 
Back
Top Bottom